Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Diamond hajasoma na inawezekana sio mbunifu, lakini kumbuka ana watu wa karibu waliosoma na wabunifu pia, na wanamshauri mambo mengi mazuri...siamini kila kitu anafanya yeye na mawazo mengi ya uwekezaji hayakua yake, kuna watu wanamuongoza, ameajiri watu wabunifu na wenye akili wamfanyie kazi.....bado diamond ana advantage tu as long as ana pesa..pesa ni kila kitu ubunifu watakusaidia wengine we tulia tu..hata ruge anaajiri watu wenye akili wamfanyie kazi sio ubunifu wake

Bakhresa ,Mo ,Diamond wote wamewekeza kwenye Human Resource mkuu
 
Huyo mondi nawewe mmenizidi upumbavu

Najivunia kutokuwa mpumbavu!
Ahahaaah!!!
Hivi unajua hata maana ya neno MPUMBAVU kijana?
Pamoja na kwenda shule, lakini hadi leo haujui kusoma wala kuandika vizuri, alafu bado unasema unajivunia kutokua mpumbavu!?
Ajabu!!!
 
Ahahaaah!!!
Hivi unajua hata maana ya neno MPUMBAVU kijana?
Pamoja na kwenda shule, lakini hadi leo haujui kusoma wala kuandika vizuri, alafu bado unasema unajivunia kutokua mpumbavu!?
Ajabu!!!
Ngumbaru unaonekana unapenda sana mipasho!
Yawezekana unamiliki kadegree na upo mtaani jua Kali!,inawezekana!
Kuwa na hivyo vyote hakukufanyi usiwe "MPUMBAVU"
 
Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?
NB:watu wenye status ya senior huwa weupe kwenye mada nyingi hapa jukwaani
Ubunifu upi unaoutaka?,hiyo wasafi media kwani imesha anza kurusha vipindi mpaka useme ubunifu ni zero?,ikianza kurusha vipindi ndo inapaswa u-judge lakini hupaswi kusema kitu sasa hivi wakati unaona kabisa ndo wanaanza.

#TUMIA AKILI USITUMIE KAMASI
 
Kumbe wasafi TV siyo yao?
Hilo bichwa unatumia kufugia nywele tu ee?
Ubunifu upi unaoutaka?,hiyo wasafi media kwani imesha anza kurusha vipindi mpaka useme ubunifu ni zero?,ikianza kurusha vipindi ndo inapaswa u-judge lakini hupaswi kusema kitu sasa hivi wakati unaona kabisa ndo wanaanza.

#TUMIA AKILI USITUMIE KAMASI
 
Ngumbaru unaonekana unapenda sana mipasho!
Yawezekana unamiliki kadegree na upo mtaani jua Kali!,inawezekana!
Kuwa na hivyo vyote hakukufanyi usiwe "MPUMBAVU"
Unajua maana ya neno MPUMBAVU?
 
Unazungumzia diamond yupi?? Kama ni huyuhuyu ambaye ameweza kuwasimamisha lavalava na mbosso bila hizo radio zenu. Basi utakuwa unamkosea heshima maana mpaka hapa tulipofikia mawingu ndo wanapaswa wamuombe msamaha jamaaa maana kawaprove wrong
Wewe ni mgeni hapa JF?
 
Nini maana yake?
Nimjibu mpumbavu maana ya upumbavu?
Mwache afe na upumbavu wake!

Wewe ni mpumbavu unayetaka kuchukulia majibu yangu kuendeleza mjadala.
Hebu hapo ulipo kubali kuwa wewe ni mpumbavu mtukuka

Ngumbaru!
 
Diamond sio wa kutegemea local media tena kusukuma mziki wake...ameshapiga hatua kubwa na kurudi nyuma ni 'baadae sana' vip akiamua kuhama bongo km AY je utategemea arudi clouds ndo mziki wake uhit!!? Alipofikia diamond ni zaidi ya staa vip aende sawa na mawingu
 
Back
Top Bottom