Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
 
Jide mbona hajawapiagia magoti na anapeta tu kwa kutangaza show zake kupitia Instagram na mambo yanakwenda...by the way mleta uzi unawaza mambo mabaya tu badala mawazo ya kujenga, kwanini isiwe kwamba kuja kwa WASAFI FM ni fursa ya kushirikiana na CLOUDS FM kwa baadhi ya mambo ya maendeleo
 
Unasubiria ndege ferry lkn dogo pamoja na figisu figisu zote bado dogo Diamond katoboa na kawasimamisha Mbosso na Lavalava bila hao CMG. Ulimwengu sasa hivi una endeshwa na Social Networking, social networking zina nguvu kuliko hiyo Radio na Dogo yupo smart ktk kutumia social networking. Kuanzia mwaka jana mpaka leo kuanzia YouTube, instagram, fb, boomplay, iTunes, sportfy wameshika wao WCB . Kaka dunia imebadilika kama hujui social networking zimepunguza wasikilizaji wa Redio na watizamaji TV. Zamani tamasha likuwa moja tu Fiesta , ila sasa hivi kwa mwaka matamasha ni matatu Fiesta, Komaa concert na Wasafi festival mwisho usitegemee kabisa dogo kuja kuwapigia magoti CMG angalia Fiesta baadhi ya mikoa umedorola, usishangae wao wakawa wa kwanza kupiga magoti kama walivofanya kwa Sugu na washukuru busara za Mbowe na Mchimbi .Hivi ww Clouds inakubeba bure, ukiona msanii anabebwa sana jua ananyonywa sana muangalie Barnaba pamoja na uwezo mkubwa wa sauti, kutunga nyimbo zake na za wenzake THT na kujua kupiga gita, pamoja na kuwa na hiti nyingi lkn sasa anapumulia mipira.
 
Mtoa mada unashindwa kuona kuwa changamoto kubwa inayokabili media zote duniani ni mitandao ya kijamii. Mobile phone zinakuwa cheap kila siku watu wengi wana afford. Wasafi wamewekeza kwenye mitandao hata ukiangali media zinabidi ziende huko wateja wamebadilika. Clouds hawapigi nyimbo za wasafi ila ukiangalia YouTube video za wasanii kutoka wasafi ndo zina viwer wengi Instagram huko wanatrend wao bila kutegema traditional media house.Ukienda sehemu zote za starehe nyimbo ni wasafi tu. Zile zama za radio kuwa watemi zimekwisha internet ni hatari.. so hakuna radio itakayoshinda internet na social media kwenye dunia ya sasa. Diamond anajua kutumia social network that why media zinashindwa kumshusha na ni ngumu sana kwa dunia ya leo.
 
Mmmke sio DIAMOND PLATNUMZ NNAYEMFAHAMU MIMI HHAHAHAHA diamond sio nandy au ruby yule mtu ni level nyingine kashawekeza vya kutosha hata akisema aache mziki sasa hafi njaa ana mijumba na biashara kibao ana tv yake na radio yake aende clouds kufuata nini sasa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmke sio DIAMOND PLATNUMZ NNAYEMFAHAMU MIMI HHAHAHAHA diamond sio nandy au ruby yule mtu ni level nyingine kashawekeza vya kutosha hata akisema aache mziki sasa hafi njaa ana mijumba na biashara kibao ana tv yake na radio yake aende clouds kufuata nini sasa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Diamond hana tv
 
Hayo ni mambo unayowaza kichwani kwako,labda hao clouds ndo wampigie magoti diamond......Diamond ndo bongo fleva,akifa nayo imekufa tunarudi kwenye bolingo.
Wamepita kina matonya Q chief ferooz itakuwa yeye otherwise hayo ni maoni tu sio katiba
 
Hayo ni mambo unayowaza kichwani kwako,labda hao clouds ndo wampigie magoti diamond......Diamond ndo bongo fleva,akifa nayo imekufa tunarudi kwenye bolingo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom