Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Aise! Mim naonaga kuvaa micheni shingoni ni ushamba tu. Huyu jamaa na mtoto wake konde boy bado wana pigo za kiwaki sana.. kwenye suala la mitupio king kiba anajitahidi sana
Siyo ushamba kama ukivaa vitu OG
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mengine tucheke tuu..
Billioni tano na millioni mia saba kamanda almost billioni sita
 
Huwa nawakubali sana FA na AY muda mwingi wapo simple kuanzia lifestyle, mavazi hata unywaji. Hawanaga ushamba mwingi kwenye appearence.
 
Diamond amekwambia hiyo micheni ni og?
Kwani hata akivaa minyororo ya kufungia mbwa wewe unaumwa roho na unateseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…