sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.
Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.
Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani na waandaaji wa matukio makubwa ya kiburudani kama concerts za muziki, mapambano ya boxing, beauty contests nk.
Hakuna tena kupigwa mvua au kuoga vumbi kwenye starehe.