Diamond Platnumz kujenga arena kubwa ya burudani

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.

Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.

Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani na waandaaji wa matukio makubwa ya kiburudani kama concerts za muziki, mapambano ya boxing, beauty contests nk.

Hakuna tena kupigwa mvua au kuoga vumbi kwenye starehe.
 
Hizi story za arena mbona nazisikia tangu ata mh jiwe ajakata roho. Au arena anajenga kuzunguka Tanzania nzima.

Angetupa mfano wa kuijaza o2 arena pale uk
 
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.

Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.

Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani na waandaaji wa matukio makubwa ya kiburudani kama concerts za muziki, mapambano ya boxing, beauty contests nk.

Hakuna tena kupigwa mvua au kuoga vumbi kwenye starehe.
Hebu leta mchoro wa hilo jengo kwanza kisha tujadili. Kinyume na hapo ni fununu tu.
 
Hii ya kujenga Arena nilisikia kwamba kuna madoni kutoka nje wanataka kujenga wataingia mkataba na msanii mmoja mkubwa Tanzania.
 
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.

Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.

Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani na waandaaji wa matukio makubwa ya kiburudani kama concerts za muziki, mapambano ya boxing, beauty contests nk.

Hakuna tena kupigwa mvua au kuoga vumbi kwenye starehe.
Tumtakie kila la kheri maana, manufaa watapata watanzania
 
ajenge sirari pare muraaa! karibu na nchi tajiri africa...watu wanakuja burudika toka nairobi, kisumu kericho weeee! atapiga na hela za kigeni humohumo! asiweke dsm
 
Back
Top Bottom