sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Itabidi wazoee tu jamaa ndio anapiga steps za maana zaidi.MBONA UNAWAUMIZA WATU MKUU???
Kuwa na subira utafurahi.Hivi wasafi tower hipo au mradi ulikufa
Mkuu hata story za betting company na media ulizisikia muda mrefu.Hizi story za arena mbona nazisikia tangu ata mh jiwe ajakata roho. Au arena anajenga kuzunguka Tanzania nzima.
Angetupa mfano wa kuijaza o2 arena pale uk
Hebu leta mchoro wa hilo jengo kwanza kisha tujadili. Kinyume na hapo ni fununu tu.Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.
Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.
Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani na waandaaji wa matukio makubwa ya kiburudani kama concerts za muziki, mapambano ya boxing, beauty contests nk.
Hakuna tena kupigwa mvua au kuoga vumbi kwenye starehe.
Tumtakie kila la kheri maana, manufaa watapata watanzaniaKatika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.