Diamond Platnumz kuwa macho sana na Mtiga Abdallah

Ndani ya Wasafi Fm Diamond Platnumz ameibua vipaji vingi sana na amefanikiwa kuajiri watu wengi ambao wanalipwa vizuri tu kama wakina Kumwembe, Kitenge na wengineo.

Lakini sijui kama Diamond ashawahi kukaa chini akafuatilia kazi anazozifanya huyu kijana wake Mtiga Abdallah pale Wasafi Fm.

Ni kijana mdogo sana lakini ana kipaji cha ajabu, ameanza kujizolea umaarufu kutokana na kipaji chake cha kusimulia hadithi za kusisimua.

Hiyo ni video mojawapo ya kazi anazofanya huyu kijana japo hushirikiana na wengine kuandika na yeye huadithia lakini ana kipaji cha pekee sana.

Ni muda sasa kwa Chibu kumuangalia kwa jicho la pili huyu kijana la sivyo media nyingine watampandia dau.

Very interesting
 
Kwani media zingine zikimpandia dau kuna ubaya?
 
Naona amekutuma umpigie upatu ee
 
w

bwana mdogo mtiga ww bado sana
 
Ila juzi kwenye simulizi ya train iliyopotea kwenye tunnel hakufanya research yake vizuri. Ile ni stori tu, haijawahi kutokea.
A simple google search itakupa majibu
 
Namkubali sana huyu kijana anasimulia hadithi kwa namna ambayo lazima umalize kusikiliza hadithi yake...kongole kwake.
 
Back
Top Bottom