Diamond Platnumz kuwa macho sana na Mtiga Abdallah

Diamond Platnumz kuwa macho sana na Mtiga Abdallah

Ndani ya Wasafi Fm Diamond Platnumz ameibua vipaji vingi sana na amefanikiwa kuajiri watu wengi ambao wanalipwa vizuri tu kama wakina Kumwembe, Kitenge na wengineo.

Lakini sijui kama Diamond ashawahi kukaa chini akafuatilia kazi anazozifanya huyu kijana wake Mtiga Abdallah pale Wasafi Fm.

Ni kijana mdogo sana lakini ana kipaji cha ajabu, ameanza kujizolea umaarufu kutokana na kipaji chake cha kusimulia hadithi za kusisimua.



Hiyo ni video mojawapo ya kazi anazofanya huyu kijana japo hushirikiana na wengine kuandika na yeye huadithia lakini ana kipaji cha pekee sana.

Ni muda sasa kwa Chibu kumuangalia kwa jicho la pili huyu kijana la sivyo media nyingine watampandia dau.

Utasababisha watu wamroge
 
yuko wapi Siku hizi📢📢📢📢📢
 
Huo muda wa kusikiliza mnatoa wp!?
hii kazi ya ya laboratory itanimaliza...
inanitenga na jamii kabisa
 
Nyie mnaosema analewa mna uhakika???au mnahukumu kwa kusikiliza upande m1 wa boss wenu yule!!!
 
Back
Top Bottom