waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,749
Natoa high recommendation kusikiliza hii story .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimulizi wa katambuga niliona kama Skywalker ndo msimuliziKile kipindi cha KATAMBUGA sio chake kweliii?????
Sema anawachota sana wajinga wajinga.Saaana yani.
Mtiga Abdalah yupo wasafi media, Annanius Edgar yupo GlobalTV. Wote ni wakali sana. Kila la kheri katika kazi zao.kwani mtiga abdallah na annanius edger nan mkali
Kutoka shilingi ngap mpaka ngap?wamuongezee pesa
Naona umejikuta kwenye taarabu.Simjuwi na sifatiliagi mambo hayo
Kwa mujibu wa akili timamu niliyonayo mm naona wote wana gentle voice, ila Ananias Edgar has a great talking voice I could listen to him talk about anything lolkwani mtiga abdallah na annanius edger nan mkali
Ni wivu tuWote wanaomkubali huyu jamaa ni simply kwamba hawana knowledge ya matukio au historia sahihi. Ni ile jamii ya makonda au bodaboda ambao hawajui kutumia idhaa za kimataifa au majukwaa yaliyo well established katika historia. Zile stori za sijui ndege iliyopotea na kurudi miaka 30+ ikiwa na watu, hizo stori wanaoziamini tu ndo wanamkubali. Ukisoma Wikipedia, Vintage News, BBC archives na makala za maana huwezi kuja kumsifia huyu simply ni kuwa anatia chumvi na anapenda conspiracy theories ambazo pia anafeli namna ya kuziwasilisha maana anazileta kwa kumwaminisha msomaji kwamba hicho kitu ni sahihi. Na anapenda sana repetition, utasikia mfano story ya Mandela kila mara anasema "Mandela bwana akafungwa, alipokuwa gerezani bwana Mandela akaugua, mzee Mandela kipindi hicho kijana akatoa mzee". Nisameheni mi simwonei wivu ni mtazamo wangu tu
kwani mtiga abdallah na annanius edger nan mkali
Huwezi nielewa maana ni jamii ya la saba BNi wivu tu
Umemaliza boss usiongeze chochote.Mbona watu ndio wanakimbilua huko aliko, nani tena atamuondoa hapo?
Natoa high recommendation kusikiliza hii story .
Aisee!!! Hata K24 ya Kenya hawezi kuajiriwa pale... Sembuse DwAkiwa na cv nzuri , ujuzi wa lugha za kigeni na CONNECTION anaweza kwenda kufanya kazi kwenye idha za kiswahili huko ughaibuni
Karibu.Duh! Very interesting....thanks for sharing