mikono ya mond najis...inashika shika papuch hovyoonahuo mkono kauwekaje au ni macho yangu? viganja havikuwa na ushirikiano kabisa.
Kina Tx, Mbaraka et al ni kweli wamefanya sehemu yao katika historia ya muziki wa Tanzania. Hakuna atayepinga hilo hata siku moja.Hao ni Icon ya mziki wa Kimarekani na siyo wa Kitanzania ukiwasema hao akina Tx Moshi, Mbalaka, Bitchuka, Ngurumo n.k. utawaitaje?
Kwa kwetu Mtwara mtu akikushika kwa mikono yote miwili tafsiri yake ni heshima kubwa sana,kutotoa kiganja kunakuja kutoka na dharura labda umelowa,mchafu,etc so badala yake anakuonyesha heshima kwa kukushika na mkono wa pili......Ila nimeamini Diamond alivyosema yeye ana content kubwa sana,kabadili upepo wa msiba sasa hivi mjadala umekuwa hilo tukio tih tih tih tih..
Unazungumzia ule mziki wa Mwanaume kuimba "mume wangu ni mulevi ananuka pombe"Hao ni Icon ya mziki wa Kimarekani na siyo wa Kitanzania ukiwasema hao akina Tx Moshi, Mbalaka, Bitchuka, Ngurumo n.k. utawaitaje?
Well saidKulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Wewe unataka kuleta ubishi wanasanii gani hao wanaimba nyimbo hata mwezi hauishi unakuwa umefubaa hamu ya kuusikiliza huna, kasikilize nyimbo za hao wakongwe hadi Leo zinavuma na kupendwa.Unazungumzia ule mziki wa Mwanaume kuimba "mume wangu ni mulevi ananuka pombe"
Mkuu, hivi mtu akikupa mkono mmoja na wewe ukampa miwili ina maanisha Nini? Punguza mihemkoKulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
[emoji121]Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
kwa tatizo liko wapi sheikh wangu,basi we endelea tu kuskiliza mziki wa hao wakina marijani...Wewe unataka kuleta ubishi wanasanii gani hao wanaimba nyimbo hata mwezi hauishi unakuwa umefubaa hamu ya kuusikiliza huna, kasikilize nyimbo za hao wakongwe hadi Leo zinavuma na kupendwa.
Hata mm sijuiKwa nini Wasanii wanapenda kutunishiana misuli kulingana na kazi zao?
Hahaha the King..
Watu mnapenda Kuelezea vitu kwa fahamu zenu zinavyowatuma.
Pengine hakumaanisha chochote kibaya.