Wabongo bwana. Ali Kiba katoa mikono yote miwili kuonyesha heshimaleta pia majibu ya mkono wa ali k mbona kama kautoa kama mtu anaye hisi kinyaa?
kwanini unitukane mkuu, matusi yanaruhusiwa kwani? bishana kwa hoja[emoji121]
MKUU,
ACHA UJINGA,
KWANI AKIMSALIMIA AKIWA AMEKAA INATENGUA SALAM?
MBONA HAKUNA TATIZO LOLOTE HAPO!!!
BICHWA KA' TOFALI!!!
[emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469]
MwenyeweYule wa nyuma mbona ka b12?
Kwa mbaali namuona Le King of all social media, Le kokobangaz, Nyenyenye, tusubiri Le tamkoz u know'Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Nikweli kabisa ulichokiongea mr.,hawa washikaji sio maadui kabisa ila maadui ni sisi mashabiki ila tutauana lkn yakwao yatasonga kama kawaida!Ninachoamini mimi, Mondi na Kiba sio maadui. Wanafanya namna flani ya mchezo unaofanya wapenzi wa mziki wavutiwe na mziki wanaoufanya hawa watu.
Hiyo vita inatengenezwa na kukuzwa na sisi mashabiki!
Yooh mbona Kiba mkono anatoa kishingo upande
Nleta pia majibu ya mkono wa ali k mbona kama kautoa kama mtu anaye hisi kinyaa?
Hapo ukiangalia hiyo picha kwa makini naweza kusema kwa hicho alichokifanya Ali Kiba sio sahihi, yaani utoaji wa huo mkono kwa walioshuhudia hilo tukio wanaweza kusema Ali Kiba alikuwa hataki kutoa mkono/kushikwa mkono na Domo...Ninachoamini mimi, Mondi na Kiba sio maadui. Wanafanya namna flani ya mchezo unaofanya wapenzi wa mziki wavutiwe na mziki wanaoufanya hawa watu.
Hiyo vita inatengenezwa na kukuzwa na sisi mashabiki!
Na mim nilielewa kama wew nahisi ingekua dharau asingemshika kwa mikono miwili hapo yote imekunjwaKwa kwetu Mtwara mtu akikushika kwa mikono yote miwili tafsiri yake ni heshima kubwa sana,kutotoa kiganja kunakuja kutoka na dharura labda umelowa,mchafu,etc so badala yake anakuonyesha heshima kwa kukushika na mkono wa pili......Ila nimeamini Diamond alivyosema yeye ana content kubwa sana,kabadili upepo wa msiba sasa hivi mjadala umekuwa hilo tukio tih tih tih tih..
Hebu jaribu tena!!!Dogo sikupati kwenye simu siku 10 sasa.
So?Mbona kama Kiba kampokea kwa mikono miwili? Au wenzangu hamuoni
Utakuwa umechanganya comment ndugu.
Haya alasiri njema
Mimi ni Team Kiba ila sipo kwenye tabia ya hao unaowataja, ukweli ni kwamba kwenye hiyo picha Ali Kiba anaonekana anataka Beef na Domo,View attachment 753306
Hii imedhihirisha kabisa kuwa team kiba ni wakorofi halafu isitoshe wanategemea kiki kutrend.
kuweka mikiono miwili ni ishara ya heshima ....huwa nafanya sana kuashiria ukarimu na upendoSion tatizo.kiumri mkubwa kaka mdogo kasimama kuonyesha heshima.
Ally kiba kampa mkono kiupande sababu labda ni mchafu lakini kauleta mwingine juu yake so ni ishara kama ni heshima fulani.
Ni wachache watakaoelewa hio
Wengi wanaendekeza mihemko