Yooh mbona Kiba mkono anatoa kishingo upande
Ukiangalia kwa makini hapo Domo kama kalazimisha kupewa mkono na Ali Kiba,kuweka mikiono miwili ni ishara ya heshima ....huwa nafanya sana kuashiria ukarimu na upendo
Umeona.Mimi ni Team Kiba ila sipo kwenye tabia ya hao unaowataja, ukweli ni kwamba kwenye hiyo picha Ali Kiba anaonekana anataka Beef na Domo,
Wakati Domo anataka Amani
Binaadamu hamna jema, khaaaa!!!Kulikuwa kuna shida gani ya kusimama na kusalimiana na Diamond?
Diamond ametoka alipokuwa ili kwenda kumsalimia lakini katika hali isiyo ya kawaida, Ali Kiba akaonyesha umwinyi wa hali ya juu kwa kupokea mkono wa Diamond huku akiwa ameketi.
View attachment 753306
Safi poison.Mambo vipi mrembo?
Muuza njiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hujaachaga roho mbaya tu!!
Cc cute b
Afadhali umetumia kichwa kufikiri.Kwani Hujui Yeye Ni Kaka Kwa Diamond?Wewe Ukiwasalimia Wakubwa Zako Huwaga Wananyanyuka?
Kunyanyuka Ni Ishara Ya Heshima Kwa Wakubwa Au Washkaji Zako
Acha Majungu Kijana Mwenzangu
Mtoto wa kiume acha majungu, mbona kampa mkono kiheshima kabisa tena kamshika na mikono yote miwili ikidhihirisha nidhamuleta pia majibu ya mkono wa ali k mbona kama kautoa kama mtu anaye hisi kinyaa?
Safi poison.
Mzima wewe?
ndio yeye,kulia kwake kakaa jk comedian,kushoto mak juice,nyuma iceboy.Yule wa nyuma mbona ka b12?
Basi kheri!!!Mimi bukheri wa afya.
Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Umwinyi ni dalili za tezi dume