Si nasikia Monaco wanakutaka?!Ahsante mkuu, naona mwisho wangu pale emirates umeshawadia [emoji22]
Jaman jaman... acha kumpambanisha mganga na vitu vya ajabu, huyu level zake at least kina KibaKwa wale wapenzi wa nyimbo za mapenzi watakubaliana na mimi kwa 100% kwamba kwa hapa Tanzania ukitaka kusikiliza nyimbo kali za mapenzi zenye kubembeleza,kuliwaza,kufariji na kusuuza moyo basi sikiliza nyimbo za hawa magwiji wawili ambao ni Kassimu Hemed au Kasimu Mganga na Naseeb Abdul au Diamond Platnumz .
Kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akitamba kwamba yeye ndio fundi au tajiri wa nyimbo za mahaba
Kassimu kwa upande wake amesumbua na ngoma kali kama vile Awena ,Usiende kwa Mganga ,Subira aliyomshirikisha king of the best melody hapa namzungumzia Christian Bella nk
Kassimu kwa sasa anatamba na ngoma ya Somo aliyowashirikisha Kilimanjaro band (wana njenje ) waliotamba na ngoma yao ya kinyau nyau
Naseeb kwa upande wake ametamba na ngoma kama vile nimpende nani, tatizo kwetu mbagala , lala salama,moyo wangu nk
Kwa sasa Naseeb anatamba na ngoma yake ya marry you aliomshirikisha mwanamuziki Ne-Yo
View attachment 476752
Huyu ni Kassimu Hemed Mganga
View attachment 476753
Huyu ni Diamond Platnumz Simbaaaa
Haya sasa wakuu kazi kwenu nani fundi hapo kwenye upande wa nyimbo za mapenzii tuuu basiiii ?
Kwa hiyo mkali nani hapo?ni sawa na kufananisha kibajaji na semi trailer
Umeanza vizuri ila umeharibu mwishoniKwanza tafuteni asili ya hao watu wawili. Kassimu ni mdigo wa tanga, tanga ukisikia mapenzi huwazungumzii watu wengine ni hao wadigo, sio wake wala waume wote mafundi sana.
Mondi asili yao kigoma, huko hakuna ufundi wowote, mondi ni mjanja wa town tu na ameshika soko la music ila kwa nyimbo za mahaba kassim break.
Tofautisheni mahaba na matusi. Kuna mmoja anaimba mahaba mwengine matusi
Huo ndio ukweli, kuna kuimba kimahaba na kuimba matusi. Mm ni shabiki wa mondi ila kwa kuimba kimahaba hampati kassim, kwa kuimba matusi anamzidi kassimUmeanza vizuri ila umeharibu mwishoni
Kiukweli hakuna wakumfanisha kassim mganga na mwanamuziki yoyote katika nyimbo za mapenzi, manuari ni nzuri mno but kwangu mimi nafsi nyonge ni balaa.ki ukweli wote ni my fevs artists, lakini usifanye mchezo na kassim ktk mashair ya mapenz, we sikiliza nyimbo yake ya manuari tu utaelewa. . . . . just take your time na uisikize hyo nyimbo utaelewa namaanisha nini
Kiukweli hakuna wakumfanisha kassim mganga na mwanamuziki yoyote katika nyimbo za mapenzi, manuari ni nzuri mno but kwangu mimi nafsi nyonge ni balaa.ki ukweli wote ni my fevs artists, lakini usifanye mchezo na kassim ktk mashair ya mapenz, we sikiliza nyimbo yake ya manuari tu utaelewa. . . . . just take your time na uisikize hyo nyimbo utaelewa namaanisha nini
Yah manoari ni ngoma kali sanaKiukweli hakuna wakumfanisha kassim mganga na mwanamuziki yoyote katika nyimbo za mapenzi, manuari ni nzuri mno but kwangu mimi nafsi nyonge ni balaa.