Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

Milion 50 kwa week?

Hii habari imetoka kwenye chanzo gani?

Utaskia ni yeye mwenyewe alisema

Zinaweza kuzidi. Hatuna ushahidi ila kwa kukadiria tuseme tu;

1. Wasafi media (Radio na Tv) - 8m
2. Views, downloads, streams (wastani) - 20m
3. Nyumba za kupanga - 7m
4. Mirahaba wasanii wa WCB - 8m
5. Endorsements zote (jumla wastani) - 20m.

Jumla 63m. Na haya ni mahesabu ya chini kwa kila kitu.
 
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.

Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond

At this point kuna mawili

1) Kama anafanya kuflex kwa hao wanaomchukia ajue tu kwamba kwa hizi mbwembwe akiflop watamcheka sana.
People will hate when you have something and will laugh at you when you loose it. Hawa wanaomchukia leo na kusema hawezi leta 0KM hao hao watamcheka na kusema kwani si angenunua Range Rover tu atulie.

2) Haya magari hayanaga thaman baada ya kununuliwa. In short Exotic cars(items) nyingi huwa na bei nzuri zikiwa mpya. Kwenye kuiuza lazima upoteze hela kibao. Kama amenunua kwa ajili ya investment asee mbona kama hii investment imekaa kushoto.

Ushauri wangu
Wasanii bongo wanapenda sana kuvimba, pia Kuna wabongo wanapenda sana kuvimba. Anaweza fanya VVVIP car Rental
Imagine with 20,000,000 mtu unapewa msafara wa Escalade 2 na Rolls Royce plus ushers, bodyguards, media coverage, Celebrity appearance na makorokoro kibao

Am sure wapo watu watataka hii kitu hasa kwenye maharusi ya wahaya
But kuyaweka parking pale chini ya maturubai asee soon atalia kijana wetu.

WE LIKE IT OR NOT, DIAMOND IS ON ANOTHER LEVEL. HATA KAMA HIO GARI NI USED SAWA, BEI YAKE SIO SAWA NA SUBARU, BUT KAMA ANAYAFANYA HAYA KUWAKOMOA KINA MANGE, HAO HAO KINA MANGE WATAKUJA KUMCHEKA

IMEANDIKWA NA FELIXRED

Diamond sio mjinga anajibrand Kama hujua kampuni itakyompa ubalozo wowote ni lazima watoe mpunga wa maana Kama hujui yule akitatumia 100 maanaka thamani yake kwe ye matangazo inapanda mara dufu hujui biashara wew
 
“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Huyu jamaa ni mwijaku kabisa...Acha ghadhabu na chuki kwa waliokuzidi kila kitu boya wewe
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Umeongea vizuri kimtindo but kuhusu wanamziki wa nje umechemka coz hao wanajulikana globaly eti alicia ajipenyeze africa😁😁😁😀 hao popote wapo umechemka hapo
 
Back
Top Bottom