Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kaona Subaru tu, jamaa mzushi mzushi kweli huyuu 😀😀Huu ushauri unampa mtu anayeingiza million 50 kwa wiki ama unamzungumzia nani? Dogo kanunua gari atembelee sio kwa ajili ya Rentals mzee!
Logically Mtu haaminiwi kwasababu yeye kasema, bali ana aminiwa kulingana na evidence aliyoiwekaKwanini tusimuamini mzungumzaji mwenyewe tukuamini wewe ambae hujui ata moja ya biashara yake?
Haina haja ya kubishana,pia haina haja ya ushahid mkuu..I'm just talking from my experience..ndy maana nikakuambia nakurespect maana naonaga sn michango yako..ila ktk hiyohiyo mijadala km ni inshu inauomuhudu diamond Tu unakuwa so biased mkuulabda unioneshe huo ubaya wa comment hiyo uko wapi
Ulikuwa una maanisha nini ndugu.....??Ukiona umefika hapo.ujue umesha sarenda
Kuuliza swali lenye mlengo wa kutaka kujua kumbe na reveal chuki?Haina haja ya kubishana,pia haina haja ya ushahid mkuu..I'm just talking from my experience..ndy maana nikakuambia nakurespect maana naonaga sn michango yako..ila ktk hiyohiyo mijadala km ni inshu inauomuhudu diamond Tu unakuwa so biased mkuu
Huyu jamaa Hana zuri lolote kwako[emoji16]
Alicia Keyz na Snoop Dogg wajipenyeze Tz kutafuta Nini zaidi!? Unahisi kipi hawana mpaka hapo walipofikia!?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
huyu jamaa kaongea pumba tupuHuu ushauri unampa mtu anayeingiza million 50 kwa wiki ama unamzungumzia nani? Dogo kanunua gari atembelee sio kwa ajili ya Rentals mzee!
Hapana sujasema ukubali kila kitu asee..alafu uchawa unatoka wapi tena[emoji1787]Kuuliza swali lenye mlengo wa kutaka kujua kumbe na reveal chuki?
Nikikubali kila kitu napo si mtaniita chawa?
Kuna uzi uliwekwa akionesha utu kipindi cha corona alilipia kodi wakazi wa tandale nilimpa shavu, ni vingi ambavyo kavifanya na humu nimevi-appreciate ila ni vile mtu ana uhuru wa kuchagua aina fulani ya maneno na kuyatumia kiujumla katika kila kitu
Mwanangu Una roho mbaya kinyama😃 , Acha kuvaa Suti za kichina mkuuu“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
😀😀😀😀😀😀Ndio maana kwenye mitihani tunashauriwa tusomege ile page ya mwanzo ya mtihani, kwani Diamond kanunua Rolls-Royce Ghost. Chuki zinakufanya mpaka ukurupuke.
Una chuki binafsi wewe, Alisha Keys huyu nnaemjua mimi au! Mlianza kujua miziki miaka ya 2000 mna tabu sana.“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Umemdharau sana alicia keys“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
duuu“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Mse* wewe [emoji23] [emoji23][emoji23]Ila haifikii yako wewe unaelalia kipande cha godoro na kulala na vyombo na majiko kama upo stoo