Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Bro umeamua kutusema🤣Ila haifikii yako wewe unaelalia kipande cha godoro na kulala na vyombo na majiko kama upo stoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro umeamua kutusema🤣Ila haifikii yako wewe unaelalia kipande cha godoro na kulala na vyombo na majiko kama upo stoo
Bongo nyosoMtu utafute pesa kwa nguvu, akili zako afu anatokea kondoo anakupangia namna ya kuzitumia hizo pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu Wana mimba za chuki..sijui watazaa liniAna management mbaya kweli au unaongea kinyume [emoji3][emoji3][emoji3]
1.Management ambayo imemfanya apige shows zaidi ya 90%,ya nchi za kusini mwajangwa la Sahara ukitoa za kiaarab na mwezi wa kumi na moja ana show Gambia.
2.Management iliyompa tuzo kubwa MTV EUROPE mbili, MTV MAMA 1,Channel O tuzo 3,3 nomination BET.
3.Management ilimfanya asaini mikataba ya ubalozi na Voda, PePsi na kuwa balozi wa Itel nchi tano (Togo, Kenya, Uganda, Ivory Coast,Tanzania).
4.Management iliyompa deal Universal na Warner.
5.Management ili mfanya leo hii kufanya kazi na Netflix na mwezi huu anaelekea South kwa ajili wa uzinduzi wa show yake.
6.Management iliyomfanya aandae tamasha kubwa la Wasafi Festival chini ya wadhamini wakubwa Pepsi na sasa Tigo.
Hebu nitajie Management yoyote Afrika Mashariki na kati iliyofikia robo aliyo yafikia Diamond na Management yake.
Mtu ambaye analala ndani akiwa anacheza mdako na Tiffa kwa mwezi zinaingia zaidi ya 200m.Huu ushauri unampa mtu anayeingiza million 50 kwa wiki ama unamzungumzia nani? Dogo kanunua gari atembelee sio kwa ajili ya Rentals mzee!
Unakataa au unakubali?Milion 50 kwa week?
Hii habari imetoka kwenye chanzo gani?
Utaskia ni yeye mwenyewe alisema
Miluzi mingi inapoteza mbwaKuna nyakati kwenye maisha unatakiwa kuziba masikio na kuishi maisha yako
Unaweza kutuambia nan ana management nzur labda?“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Hamornize chini ya HbabaUnaweza kutuambia nan ana management nzur labda?
Kunywa maji utulize nafsi mkuu, umeongea kwa uchungu as if wewe uncle Stamte....aisee“15 seconds of fame za Diamond zimeshaisha” Angetumia huuu muda kupiga pesa kupitia Zuchu au Mbosso. Ndo maana hata tuzo hapewi, ni kwa sababu amekuwepo muda mrefu. Anapost picha eti na Snoop Dogg, lakini Snoop hata hapost picha yeyote nae. Hajui kwamba ana following kubwa Africa na anasaidia ku promote hao wasanii huku. Na hao wasanii wa nje wameshamuona mjinga anapenda sifa basi nao wanamtumia ipasavyo. Alitoa nyimbo na Alicia Keys kumbe yeye kamsaidia Alicia Keys kujipenyeza zaidi Africa. Yaani Diamond ukimwangalia vizuri utagundua jamaa ana depression sana. Too bad ana management mbovu sana
Akili za kimasikini hizi ndio zimefanya kila mtu afungue biashara ya Mpesa niliwahi kusema humu biashara zetu wengi wabongo ni biashara za wavivu wa kufikiri wakaninanga kweli! Wajanja wanafungua kampuni za kibiashara ndio zenye hela ukijiset vizuri ndani ya muda mchache tu we ni mtu mpya kiuchumi! Dogo ana pesa sahizi wala hilo halina utata!Mtu ambaye analala ndani akiwa anacheza mdako na Tiffa kwa mwezi sijaingia 200m.
Leo akakodishe gari kwa ajilinya Harusi za kihaya?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuna idea za kimaskin sana za kuingiza pesa wallahi.
A 40%share holder wa Music Label yenye wanamuziki wa 3 kati ya wa 5 walioshika soko la music Tanzania na Africa Mashariki na Kati?
Zunchu
Mbosso
Rayvanny( forget about the NWL crap)
Wote hawa wapo kwake, leo afilisike law kutokodisha gari kwa Bijampora?
Mxxxxxxxiiiieee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kanunua used ya Milion Mia 3 anawafunga kamba View attachment 1854456View attachment 1854457View attachment 1854458
Kwanini tusimuamini mzungumzaji mwenyewe tukuamini wewe ambae hujui ata moja ya biashara yake?Situation kama hiyo inakua rahisi wewe ku spot uwongo wake kwasababu haina kificho ipo wazi kwa umma hata mashuleni unaweza kwenda ukacheki
Sasa swala la M50 kwa week wewe utalithibitisha vipi kua ni kweli?
Utatumia mali kama uthibitisho ambazo nazo hukuwahi kuzithibitisha before kua ni zake?
Inashangaza sanaHela ya mwingine matumizi yake yanakuumaje kwa mfano sasa
Yani kuna aina flan ya mifumo ya pesa, migumuuuuuuu imerithiwa vizazi hadi vizazi.Akili za kimasikini hizi ndio zimefanya kila mtu afungue biashara ya Mpesa niliwahi kusema humu biashara zetu wengi wabongo ni biashara za wavivu wa kufikiri wakaninanga kweli! Wajanja wanafungua kampuni za kibiashara ndio zenye hela ukijiset vizuri ndani ya muda mchache tu we ni mtu mpya kiuchumi!
Mtu anawaza akope 200M akajenge nyumba 4 za kupanga returns ni after 20 years ahead huku deni linamtesa eti nyumba ni asset wakati kuna mtu anaanzisha estates zake za mipunga kwa hio hela ndani ya miaka mitano anazungumzia 1B plus!
Tumeegama sana kwenye uchuuzi ndio maana watu wanaishia kipato cha kati hawawi matajiri unless uwe unazungusha mtaji mkubwa sana!
Nashangaa unampangiaje mtu matumizi ya pesa zake! Pangia family yako... kila mtu apambane na hali yakeTafuta pesa zako ndo uzipangie matumizi acha kupangia matumizi za wengine, Diamond acha atumie pesa zake maana anapambana usiku kucha kuzitafuta,
Unataka afe hajazifaidi ujinga mtupu, maisha ni mara moja tu duniani
Ndio maana kwenye mitihani tunashauriwa tusomege ile page ya mwanzo ya mtihani, kwani Diamond kanunua Rolls-Royce Ghost. Chuki zinakufanya mpaka ukurupuke.Kanunua used ya Milion Mia 3 anawafunga kamba View attachment 1854456View attachment 1854457View attachment 1854458
kiukweli kama ni mtu mgeni na hawa wasanii wa bongo fleva basi utaona swali langu limekaa ki wackUnakataa au unakubali?
Hizo sio rahisi mtu ku copy na hakuna ushindani sana! Ila hivi vibiashara vya kubadilishia hela ya mboga kama maduka sijui na mpesa! Kila mtu anafanya hizi na sustainability ni ngumu ukiyumbishwa kimtaji unaanguka!Yani kuna aina flan ya mifumo ya pesa, migumuuuuuuu imerithiwa vizazi hadi vizazi.
Hata maisha tu kwa jumla yani.