Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

Milion 50 kwa week?

Hii habari imetoka kwenye chanzo gani?

Utaskia ni yeye mwenyewe alisema

Zinaweza kuzidi. Hatuna ushahidi ila kwa kukadiria tuseme tu;

1. Wasafi media (Radio na Tv) - 8m
2. Views, downloads, streams (wastani) - 20m
3. Nyumba za kupanga - 7m
4. Mirahaba wasanii wa WCB - 8m
5. Endorsements zote (jumla wastani) - 20m.

Jumla 63m. Na haya ni mahesabu ya chini kwa kila kitu.
 
Diamond sio mjinga anajibrand Kama hujua kampuni itakyompa ubalozo wowote ni lazima watoe mpunga wa maana Kama hujui yule akitatumia 100 maanaka thamani yake kwe ye matangazo inapanda mara dufu hujui biashara wew
 
Huyu jamaa ni mwijaku kabisa...Acha ghadhabu na chuki kwa waliokuzidi kila kitu boya wewe
 
Reactions: Qwy
Umeongea vizuri kimtindo but kuhusu wanamziki wa nje umechemka coz hao wanajulikana globaly eti alicia ajipenyeze africa😁😁😁😀 hao popote wapo umechemka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…