Hizi tuzo za kupiga kura kadiri uwezavyo ni kama za ujanja ujanja tu. Ni bora ziitwe tuzo za wanamuziki wenye mashabiki wengi. Haiingii akilini mtu ukifikiria vizuri... tatizo ni biashara zaidi maana kila ukipiga kura watu wanapata chao...Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
Diamond mkali wewe acha kumfananisha Simba na vitu vya ajabu weweee, hahahaaaa mahaba niponde ponde kama nyanyaSasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
Hahahahahaaa pole, hadi unatia huruma kauli ya kinyonge na ya kukata tamaa kabisa hii.Tuzo najua atakuja nayo maana anaoshindania nao hawapo serious hata kura hawaombi so lazima apate yy
Toka lini mkakosa la kuongea, asingeomba pia mngesema anadharauKura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
Haha star boy over here tuzo yenu ile wala msihangaike Ku vote mkuuDiamond mkali wewe acha kumfananisha Simba na vitu vya ajabu weweee, hahahaaaa mahaba niponde ponde kama nyanya
hizo kura zote judges wanaamua kwa 60%, mwaka juzi eddy kenzo alichukua against diamond, na diamond ana fan base kubwa, nilifikili unasema wakina psquare hawajawahi kuomba kabisa, lakini unathibitisha kuwa nao wanaomba.Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
Kweli mkuu! bora hata kuangalia video ya Chura!Huyu dogo muda mwingine anapatwa na wazimu gani sijui... Tokea ametoboa pua siwezi hta kucheki picha yake insta nishamu unfollow kitambo, huu uzungu mwingi ukizidi anaaribu..
kuhusu pua si kweli km katoboa bali huwa kuna kidude tu ndo huwa anakiposition km kipini pale puani...ila hana tundu ya kipini,ila utaona katoboa km utaendeshwa na mihemko,sema huwa anakiweka ili watu mpate kuongea!
kunapoongelewa vitu vya maana msilete ushabiki wenu mandazi,hapa tunaongelea soko la kimataifa na si ubwege wenu huko vichochoroni.hizo kura zote judges wanaamua kwa 60%, mwaka juzi eddy kenzo alichukua against diamond, na diamond ana fan base kubwa, nilifikili unasema wakina psquare hawajawahi kuomba kabisa, lakini unathibitisha kuwa nao wanaomba.
Chamelione anapiga show kwa sh. ngapi? Mbona mwakajuzi aligombana na Shigongo kisa hajammalizia dau lake kwenye mil 15 waliyokubaliana?kunapoongelewa vitu vya maana msilete ushabiki wenu mandazi,hapa tunaongelea soko la kimataifa na si ubwege wenu huko vichochoroni.
kwa taarifa yako hakuna mwanamuziki anapiga hela ndeefu kwa show kama Chameleone na ni legend east Africa,ukija kwa P square tusiongee,sina mtimanyongo kwa Diamond ila naona tu huu ushabiki unaoendelea kwake si wa kujenga ni kubomoa.anatakiwa asimame zaidi yeye kama yeye kimwanamuziki,sio kutegemea mameneja 3,timu zitakazo mpigia kura,skendo na mademu ili kupata media coverage,wenzie hawafanyi hayo wametulia na family,wana hela ndeeefu sana na hawana kelele wanapiga kazi hela inaingia taratibu.