Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

hivi vitu aangalie akapita mitaa ya kwao Tandale watoto wa kihuni wanaweza kuondoka na meno ma.ma.eee
 
umeelewa nilichoandika,sehemu ya kupiga kura ipo.piga kura mara 1 nenda zako sio urudie mara 20.
Davido alishawhi kusema you have cheated again,anajua kilichokuwa kinafanyika.ni kwamba wanamuziki weetu wanasisitiza washabiki wao kuwapigia kura mara nyingi zaidi ili wapate tuzo.na kweli wanapata ila si kwa haki ni kwa kucheat systeam
 
"Chidi Benz katoboa pua,sijui anamaanisha nini" Nasema nao by Nay wa mitego.
"Chidi benz katoboa pua,na mimi ndio bahasha wake" Nasema nao rmx by Nay wa mitego.
"Michezo yenu kutoboa pua,bora ninyamaze usinipige mbata" Diamond kwenye muziki gani.
Mwisho wa kunukuu.
Tumpigie kura Diamond kwaenye tuzo za BET. Tuzo ije Tanzania hii.
YNWA
 
Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
Hizi tuzo za kupiga kura kadiri uwezavyo ni kama za ujanja ujanja tu. Ni bora ziitwe tuzo za wanamuziki wenye mashabiki wengi. Haiingii akilini mtu ukifikiria vizuri... tatizo ni biashara zaidi maana kila ukipiga kura watu wanapata chao...
 
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
Diamond mkali wewe acha kumfananisha Simba na vitu vya ajabu weweee, hahahaaaa mahaba niponde ponde kama nyanya
 
Tuzo najua atakuja nayo maana anaoshindania nao hawapo serious hata kura hawaombi so lazima apate yy
Hahahahahaaa pole, hadi unatia huruma kauli ya kinyonge na ya kukata tamaa kabisa hii.
 
Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
Toka lini mkakosa la kuongea, asingeomba pia mngesema anadharau
 
ukiona mwanaume kaanza hivyo visa inajulikana tu anelekea wapi
 
Diamond mkali wewe acha kumfananisha Simba na vitu vya ajabu weweee, hahahaaaa mahaba niponde ponde kama nyanya
Haha star boy over here tuzo yenu ile wala msihangaike Ku vote mkuu
 
Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
hizo kura zote judges wanaamua kwa 60%, mwaka juzi eddy kenzo alichukua against diamond, na diamond ana fan base kubwa, nilifikili unasema wakina psquare hawajawahi kuomba kabisa, lakini unathibitisha kuwa nao wanaomba.
 
Huyu dogo muda mwingine anapatwa na wazimu gani sijui... Tokea ametoboa pua siwezi hta kucheki picha yake insta nishamu unfollow kitambo, huu uzungu mwingi ukizidi anaaribu..
Kweli mkuu! bora hata kuangalia video ya Chura!
 
Ukiwa huna pesa shida sana mtu asifanye starehe yake mnapanic iyo ndo raha ya mpunga pungizeni wivu tafuteni mikaisari kama vp, simba kashatoboa
 
kuhusu pua si kweli km katoboa bali huwa kuna kidude tu ndo huwa anakiposition km kipini pale puani...ila hana tundu ya kipini,ila utaona katoboa km utaendeshwa na mihemko,sema huwa anakiweka ili watu mpate kuongea!
 
Mkuu alishakiri kafanya hivo pale clouds siku wanatambulisha wimbo wa Raymond, akatoa na sababu zake kufanya hivo..
 
mi nachompenda diamond ni kutoa ajira kwa maskini wenzake aliosota nao..

anasafiri na dancers wake kila mahali duniani..

mtu kama mose iyobo leo yupo nae washington wakati bosi tu serikalini safari mwikoooo..

ukiwa mfanyakazi wa diamond kujenga nyumba, kuendesha gari, na kusafiri kuiona dunia ni rahisi sana kuliko kuajiriwa serikalini au kwa wahindi...
 
hizo kura zote judges wanaamua kwa 60%, mwaka juzi eddy kenzo alichukua against diamond, na diamond ana fan base kubwa, nilifikili unasema wakina psquare hawajawahi kuomba kabisa, lakini unathibitisha kuwa nao wanaomba.
kunapoongelewa vitu vya maana msilete ushabiki wenu mandazi,hapa tunaongelea soko la kimataifa na si ubwege wenu huko vichochoroni.
kwa taarifa yako hakuna mwanamuziki anapiga hela ndeefu kwa show kama Chameleone na ni legend east Africa,ukija kwa P square tusiongee,sina mtimanyongo kwa Diamond ila naona tu huu ushabiki unaoendelea kwake si wa kujenga ni kubomoa.anatakiwa asimame zaidi yeye kama yeye kimwanamuziki,sio kutegemea mameneja 3,timu zitakazo mpigia kura,skendo na mademu ili kupata media coverage,wenzie hawafanyi hayo wametulia na family,wana hela ndeeefu sana na hawana kelele wanapiga kazi hela inaingia taratibu.
 
Chamelione anapiga show kwa sh. ngapi? Mbona mwakajuzi aligombana na Shigongo kisa hajammalizia dau lake kwenye mil 15 waliyokubaliana?
 
Back
Top Bottom