Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

Jamani mie mshamba na kuuliza sio ujinga ni kuongeza elimu....naomba kueleweshwa hivi hayo meno machafu ili yawekwe yale origin yanatolewa ama wanafanyaje?pliiz kwa anaejuwa wakuu aniondoe ushamba.
 
sasa huyu anamsahihisha Mungu, ngoja yaje yaanze kukatika
 
Mbona kama anaongea kwa kithembe..sababu ya hayo meno ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…