Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

Kwa upande wa diamond atoe2 ngoma mbovu kwa sasa maana hit anazo nyingi mno
 
Sikiliza ep ya rayvanny mkuu...ndio utajua watu wanaandikaa
 
Kwanza kabisa WCB sio kundi, Bali ni record label, Halafu kuhusu kukukosea ni wewe na sio wote na kwangu nyimbo zao Zina dumu Sana au una changanywa na hayo makundi ya kizungu kwasababu ya lugha ya kigeni wakati wazungu wenyewe wanazichoka, so calm down dawa ikuingie AMABOKO/AMABHOKO = Mikono iko number moja trending youtube na nia audio tu ,so subiri video in 24 houre 1m viewers ndo utajua watu hawachoshwi masikio yao
Inama nipachike rungu..
innocent dependent
 
Nilisikiliza kidogo wimbo wao mpya AMABOKO nikaona wameisha anza kutudharau.

Wapunguze dharau huo siyo wimbo. Ni sauti tu.
 
Just Audio, na ni namba moja YouTube chini ya saa 24!!
Inakera sana lakini inahitaji uvumilivu kwa msiowapenda WCB!!
WCB Haina mpinzani,sema Hawa mashabiki uchwara na timu pinzani wacha walielie dawa iwaingie kisawasawa.
 
Nilisikiliza kidogo wimbo wao mpya AMABOKO nikaona wameisha anza kutudharau.

Wapunguze dharau huo siyo wimbo. Ni sauti tu.
Kwani umerazimishwa,sasa Kuna nyimbo bila sauti...?aise umekosa hoja unatafuta huruma AMABOKO THE HIT SONG.

*hafu hatuna wimbo ni nyimbo sawa dada yake na alikiba pamoja na harmonize.
 
Kwa upande wa diamond atoe2 ngoma mbovu kwa sasa maana hit anazo nyingi mno
Sasa hizo hizo ngoma mbovu ni hit song,labda ungesema aache kuimba na akiacha kuimba pia wakiandika story atatrendi sasa itakuwaje....?

N.B,AMABOKO/AMABHOKO NI HIT SONG/NATIONAL ANTHERM/SMASH HIT.
 
Kwani umerazimishwa,sasa Kuna nyimbo bila sauti...?aise umekosa hoja unatafuta huruma AMABOKO THE HIT SONG.

*hafu hatuna wimbo ni nyimbo sawa dada yake na alikiba pamoja na harmonize.

Kila sauti ni wimbo ?

Duh dogo wewe inaoneka shule tatizo, kumbe waha hamna akili hujui kutofautisha Kati ya WIMBO NA NYIMBO?

Wimbo _ umoja.
Nyimbo_ wingi.
 
Kila sauti ni wimbo ?

Duh dogo wewe inaoneka shule tatizo, kumbe waha hamna akili hujui kutofautisha Kati ya WIMBO NA NYIMBO?

Wimbo _ umoja.
Nyimbo_ wingi.
Kojoa ukalale dogo sawa AMABOKO IKO NUMBER ONE TRENDING YOUTUBE FOR 1 DAYS WITH 460+VIEWS RECORD BREAKINGS.
 
Kama wewe huwaelewi acha kuwasikiliza mbona wapo wasanii wengi tu wanatoa nyimbo konki? Umeona mashabiki lakini walivyoupokea? Huko insta ni mwendo wa kumwaga maji tu
 
Back
Top Bottom