Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

mayotte ndio wapi
Mayotte is an archipelago in the Indian Ocean between Madagascar and the coast of Mozambique. It’s a department and region of France, though traditional Mayotte culture is most closely related to that of the neighboring Comoros islands. The Mayotte archipelago is surrounded by a coral barrier reef, which shelters a lagoon and marine reserve that are popular diving destinations.
mf-area.jpg
 
Tafuteni alivopokelewa airport kama rais wa nchi
 
Ninakumbuka nikiwa mdogo mama alikuwa na pair ya khanga, sikumbuki zilikuwa zinaujumbe gani, ninahisi visiwa vilivyoko Afrika, nilikuwa ninasoma hilo neno Mayote, ninalikumbuka kwakuwa ndiyo nilikuwa ninajifunza kusoma.
 
Nadhani ulikuwa shule ya vidudu maarufu kwa jina la kindergarten siku hizi. Hongera kwa kuwa mkubwa sasa 🙂🙂🙂

Back
Top Bottom