sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
P Didy wakumfananisha nae Africa ni Diamond Platnumz peke yakeHata JF tunae PDiddy, ni mfanza biashara vilevile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P Didy wakumfananisha nae Africa ni Diamond Platnumz peke yakeHata JF tunae PDiddy, ni mfanza biashara vilevile.
Don Jazzy anajitahidi ila Mondi kawekeza sana nje ya musicWapi Don Jazzy[emoji15]
Kwani uongo? kama una facts leteAnatuaminisha kuwa Wasafi Rec Label ni kubwa kuliko Mavins
Omba ueleweshwe kama kichwa chako ni kifuniko cha shingotakataka.
View attachment 2289391
Awa watu wanafanana kwa 100% unaweza kusema P-Didy kazaliwa upya barani Africa namna Diamond Platnumz anavyofata vema nyayo zake. Licha ya kwamba wote ni wasanii wenye mafanikio makubwa duniani Ila wote pia ni wafanyabiashara wenye mafanikio wakiwa wamefanya na wanafanya biashara mbalimbali.
P didy anamiliki record lebo ya Bad Boys Entertainment ambayo imewatoa wasanii kama
Usher Raymond king of RnB
Notorious Big king of hiphop
Marry J Bridge queen of hip-hop soul
Diamond anamiliki record lebo namba moja Africa ya Wasafi ambayo imewatoa wasanii kama
Rayvanny
Harmonize
Mbosso
Zuchu queen of bongofleva
Lavalava
P-Didy anamiliki biashara japo zingine aliziuza kama
Ciroc vodka akishirikiana na diageo
Aqua hydrate
Revolt
Mavazi ya Sean John
Perfume ya unforgivable nk
Diamond anamiliki biashara kubwa kama
Wasafi media (media namba moja tanzania)
Chota Mihela
Cheka Tu
Chibu Perfume
Real estates
Diamond Karanga
Zoom extra
Sasa hivi anawekeza kwenye hotel na soon anafungua night club ya kimataifa
Awa watu wanafanana sana kwa almost kila kitu haswa kwenye upambanaji na mkono wa biashara ndio maana kila mtu anataka kuwa diamond na wasanii wengine wanafikiri ni rahisi tu ndio maana wanaishia kumchukia wakijaribu wakafeli.
Punguza hasira na roho mbaya Mondi anaupiga mwingi kama P Didy fact zipo mezani hizo zisome tena uku umenyamaza kuliawe mtoa mada kweli ni faken minded
Una tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa darasa la nneWewe mtoa mada ni zwazwa kweli inamfananisha pdidy na diamond, mbna ni chai kwa soda haviendani.
Ebu acha ujinga unatutinga sisi wadau wa muziki huwez linganisha star wa dunia na huyo wenu wa afrika kapitie net worth za hizo kampuni za pdidy halafu linganisha na hzo za msanii wako unazoita Ana kampuni
Una tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa dar
Fanya punctuation km umeion comprehension ykUna tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa darasa la nne
Unajua maana ya comprehension?Fanya punctuation km umeion comprehension yk
Ila hamjui mnachoongea ukikosa mada za kuwek jf bando yko fanyia vingne bogus ww
We wazazi wako wana hasara
Kiingereza hujui, Bado kazi ya ualimu wa English unaitak...boya kweliiUnajua maana ya comprehension?
Pole sana maana unazidi kujiaibisha
Facts zipo tatizo ni uwezo wako mdogo wa akiliKiingereza hujui, Bado kazi ya ualimu wa English unaitak...boya kwelii
Toa facts za maan kwa hii mada acha kujipoteza...
Nioneshe huo uwezo wako mkubwa hapa...Facts zipo tatizo ni uwezo wako mdogo wa akili
Soma main post utaona comparative analysis iliyofanyika sio ya kitoto.Nioneshe huo uwezo wako mkubwa hapa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond anamiliki biashara kubwa kama
1.Wasafi media (media namba moja tanzania)
2.Chota Mihela
3.Cheka Tu
4.Chibu Perfume
5.Real estates
6.Diamond Karanga
7.Zoom extra
8.Machawa na Mashoga (hii mnajifanyaga kusahau)
Nazi na Chungwa vinafananaje kwa mfano?Africa nani mwingine wa kufanana nae?
Hivi diamond hana washauri wa mavazi?View attachment 2289391
Awa watu wanafanana kwa 100% unaweza kusema P-Didy kazaliwa upya barani Africa namna Diamond Platnumz anavyofata vema nyayo zake. Licha ya kwamba wote ni wasanii wenye mafanikio makubwa duniani Ila wote pia ni wafanyabiashara wenye mafanikio wakiwa wamefanya na wanafanya biashara mbalimbali.
P didy anamiliki record lebo ya Bad Boys Entertainment ambayo imewatoa wasanii kama
Usher Raymond king of RnB
Notorious Big king of hiphop
Marry J Bridge queen of hip-hop soul
Diamond anamiliki record lebo namba moja Africa ya Wasafi ambayo imewatoa wasanii kama
Rayvanny
Harmonize
Mbosso
Zuchu queen of bongofleva
Lavalava
P-Didy anamiliki biashara japo zingine aliziuza kama
Ciroc vodka akishirikiana na diageo
Aqua hydrate
Revolt
Mavazi ya Sean John
Perfume ya unforgivable nk
Diamond anamiliki biashara kubwa kama
Wasafi media (media namba moja tanzania)
Chota Mihela
Cheka Tu
Chibu Perfume
Real estates
Diamond Karanga
Zoom extra
Sasa hivi anawekeza kwenye hotel na soon anafungua night club ya kimataifa
Awa watu wanafanana sana kwa almost kila kitu haswa kwenye upambanaji na mkono wa biashara ndio maana kila mtu anataka kuwa diamond na wasanii wengine wanafikiri ni rahisi tu ndio maana wanaishia kumchukia wakijaribu wakafeli.
We dogo ni mjinga mjinga tu, hakuna kitu umeandika hapo unaleta ubishiSoma main post utaona comparative analysis iliyofanyika sio ya kitoto.