Diamond Platnumz ndio P-Didy wa Afrika

Diamond Platnumz ndio P-Didy wa Afrika

Diamond anamiliki biashara kubwa kama
1.Wasafi media (media namba moja tanzania)
2.Chota Mihela
3.Cheka Tu
4.Chibu Perfume
5.Real estates
6.Diamond Karanga
7.Zoom extra
8.Machawa na Mashoga (hii mnajifanyaga kusahau)

HAIPINGWI
 
View attachment 2289391

Awa watu wanafanana kwa 100% unaweza kusema P-Didy kazaliwa upya barani Africa namna Diamond Platnumz anavyofata vema nyayo zake. Licha ya kwamba wote ni wasanii wenye mafanikio makubwa duniani Ila wote pia ni wafanyabiashara wenye mafanikio wakiwa wamefanya na wanafanya biashara mbalimbali.

P didy anamiliki record lebo ya Bad Boys Entertainment ambayo imewatoa wasanii kama
Usher Raymond king of RnB
Notorious Big king of hiphop
Marry J Bridge queen of hip-hop soul

Diamond anamiliki record lebo namba moja Africa ya Wasafi ambayo imewatoa wasanii kama
Rayvanny
Harmonize
Mbosso
Zuchu queen of bongofleva
Lavalava

P-Didy anamiliki biashara japo zingine aliziuza kama
Ciroc vodka akishirikiana na diageo
Aqua hydrate
Revolt
Mavazi ya Sean John
Perfume ya unforgivable nk

Diamond anamiliki biashara kubwa kama
Wasafi media (media namba moja tanzania)
Chota Mihela
Cheka Tu
Chibu Perfume
Real estates
Diamond Karanga
Zoom extra
Sasa hivi anawekeza kwenye hotel na soon anafungua night club ya kimataifa

Awa watu wanafanana sana kwa almost kila kitu haswa kwenye upambanaji na mkono wa biashara ndio maana kila mtu anataka kuwa diamond na wasanii wengine wanafikiri ni rahisi tu ndio maana wanaishia kumchukia wakijaribu wakafeli.
Zuchu queen of bongo fleva...?
 
Back
Top Bottom