Diamond Platnumz ndio P-Didy wa Afrika

Wewe mtoa mada ni zwazwa kweli inamfananisha pdidy na diamond, mbna ni chai kwa soda haviendani.
Ebu acha ujinga unatutinga sisi wadau wa muziki huwez linganisha star wa dunia na huyo wenu wa afrika kapitie net worth za hizo kampuni za pdidy halafu linganisha na hzo za msanii wako unazoita Ana kampuni
 
Una tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa darasa la nne
 
Una tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa dar

Una tatizo la comprehension lakini sikulaum lawama ziende kwa mwalimu wako wa darasa la nne
Fanya punctuation km umeion comprehension yk
Ila hamjui mnachoongea ukikosa mada za kuwek jf bando yko fanyia vingne bogus ww
We wazazi wako wana hasara
 
Fanya punctuation km umeion comprehension yk
Ila hamjui mnachoongea ukikosa mada za kuwek jf bando yko fanyia vingne bogus ww
We wazazi wako wana hasara
Unajua maana ya comprehension?

Pole sana maana unazidi kujiaibisha
 
Diamond anamiliki biashara kubwa kama
1.Wasafi media (media namba moja tanzania)
2.Chota Mihela
3.Cheka Tu
4.Chibu Perfume
5.Real estates
6.Diamond Karanga
7.Zoom extra
8.Machawa na Mashoga (hii mnajifanyaga kusahau)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi diamond hana washauri wa mavazi?

Mbona kama anatembea kwa mikono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…