Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Nimeupenda sana wadau huyu kijana akaze buti anatuwakilisha vyema watanzania. Sisi wengine tunapenda wimbo ukiwa na ujumbe kama huu.
 
Huyu jamaa atafungwa kwa kosa la UHAINI maana haya ni MAPINDUZI ya kimuziki asanteh sana mtumbua majipu bin laden
 
Heaven Sent Je utanipenda daddy ako nikifulia?..Zile out za kempinski niwe nakupeleka kwa yule mama ntilie wa jirani
Hahahaa daddy angu me Nakupenda tu bure, Upendo wangu kwako ni wa Agape. Vipi hiko kichupa, sijakicheki bado, Najua me na wewe tuna taste moja
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndio Diamond ninayemjua mimi.
Hii nyimbo imemrudisha asili ya nyimbo zake.
Japo amekuwa akipiga nyimbo za kibiashara na burudani zaidi.
Lakini hii amerudi katika ile ladha yake ya nyimbo zake za awali
kama 'kamwambie', 'Mbagala', nk.
Hii ni hit ya 'rohoni' itawashika sana wale watu
wa sauti za kumtoa nyoka pangoni.
Hatari ya sauti iliyotumika (Ajemi) ikatokea amekufa
kisha watu wakawa wanasikiliza huu wimbo itakuwa
ni kuvirudisha vilio upya, tena vya kwikwi kubwa!!.
sijajua kama huyu kijana anazijua hizi sauti na asili yake.
 
Teh teh..Bab Tale amenifurahisha..Kweli kufulia noma aiseeee
 
Dah Ali kiba atasubiri sana, namshauri atafute mwingine wa kujipima nae, hapa maji marefu, bonge ya ngoma imesimama dede
Sasa hapa Ali kiba anaingiaje tena...Huwezi kusifia bila kumtaja Kiba?...
 
nimeusikiliza ila haujanikamata kihivyo ngoja niupe muda.
thou he is doin good but kuna kitu siku hizi ninamiss kwenye nyimbo zake nadhani ni tatizo langu binafsi.
ninhefurahi akirudi kwa producer maneckey hasa kwa nyimbo za kusikitisha kama hizi.
nampongeza kijana kafanya yake...
 
Hivi Ali yupo likizo tena?

Kupendwa peke yake haisaidii. ..kina nasib timu yao ina nguvu sana kifedha na njia za mziki kidunia wamezikamata. ..la zaidi nasib anajua wakati gani wa kubadilisha gia. ...haya mambo ya kutoa audio halafu video inasubiriwa kama movie ya taken soon kiba ataingia kwenye soka mazima na mziki utamshinda
 
View 17000 like 3 dislike 246
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…