talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
Ni nzuri sana hasa ujumbe wake lazima ukutie simanzi
ni kwel aise iko fresh saaana kama kawaida yake jamaaa hana mbaya,huwa hakoseagi huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri sana hasa ujumbe wake lazima ukutie simanzi
Hadi sahizi una views ngapi jamani
Hii nyimbo itakuwa ringtone ya waliotumbuliwa majipu huko serikalin...imetoka kipindi sahihi sana
hadi kesho naona kitakuwa kimeeleweka khaaaa watu wana spd ya ajabuElfu kumi na saba!
Hahahaa daddy angu me Nakupenda tu bure, Upendo wangu kwako ni wa Agape. Vipi hiko kichupa, sijakicheki bado, Najua me na wewe tuna taste mojaHeaven Sent Je utanipenda daddy ako nikifulia?..Zile out za kempinski niwe nakupeleka kwa yule mama ntilie wa jirani
Nashukuru kusikia hivyo..Kichupa tena..Mondi siku hizi labda akosee kwenye audio ila sio chupa..Chupa la ukweliHahahaa daddy angu me Nakupenda tu bure, Upendo wangu kwako ni wa Agape. Vipi hiko kichupa, sijakicheki bado, Najua me na wewe tuna taste moja
Sasa hapa Ali kiba anaingiaje tena...Huwezi kusifia bila kumtaja Kiba?...Dah Ali kiba atasubiri sana, namshauri atafute mwingine wa kujipima nae, hapa maji marefu, bonge ya ngoma imesimama dede
Hivi Ali yupo likizo tena?