Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Straight to the point ma man
Hujawahi kuwa mnafiki hata kwa unaowakubali
 
Mimi nimeuangalia zaidi ya mara 10jamaniiiiiiiii!!!!
Ghafla vicenti sina nimerudi tandaleeee
 

Uandishi wako unanifurahishaga siku zote bila kujali ujumbe gani umewasilisha!
 
Naungana na wewe huyu ndiye Diamond mwenyewe! Pamoja nakuwa na hit songs hivi karibuni tulimiss utunzi mzuri! Nyimbo hii imenikumbusha diamond mwenyewe ...wimbo mzuri sana na utunzi mzuri sana...
 
jamaa katengeneza video balaaa nimeshindwa kuiweka unaweza icheki mwenyewe kule you tube
 

Attachments

  • diamond.jpg
    56 KB · Views: 771
Naungana na wewe huyu ndiye Diamond mwenyewe! Pamoja nakuwa na hit songs hivi karibuni tulimiss utunzi mzuri! Nyimbo hii imenikumbusha diamond mwenyewe ...wimbo mzuri sana na utunzi mzuri sana...

Namuona mama yangu roho yangu tiffa dangote ............... hatariii jamani huyu kijana
 
Yaan bandar Na tra watakuw wanauskiliza kila wakiingia ofisin
 

Sifa nyngne nizamungu bhna punguza mbwembwe
 
Last edited by a moderator:
kijana anajua hongeraaaaaaaa haukoseagi dogo mond mbele kwa mbele je mtampenda? mtaa wapili ndimu zipo jamani
 
Je utanipenda siku nikiwa sina chapa, Je utanipenda au ndo utanitenga? Mike Tee mnyalukolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…