jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Dogo akili zinafunguka sana,huu ujumbe wazee wa bandari na TRA unawahusu sana,mkae kitako muusikilize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Straight to the point ma manKupendwa peke yake haisaidii. ..kina nasib timu yao ina nguvu sana kifedha na njia za mziki kidunia wamezikamata. ..la zaidi nasib anajua wakati gani wa kubadilisha gia. ...haya mambo ya kutoa audio halafu video inasubiriwa kama movie ya taken soon kiba ataingia kwenye soka mazima na mziki utamshinda
Kupendwa peke yake haisaidii. ..kina nasib timu yao ina nguvu sana kifedha na njia za mziki kidunia wamezikamata. ..la zaidi nasib anajua wakati gani wa kubadilisha gia. ...haya mambo ya kutoa audio halafu video inasubiriwa kama movie ya taken soon kiba ataingia kwenye soka mazima na mziki utamshinda
Teh teh..Bab Tale amenifurahisha..Kweli kufulia noma aiseeee
Naungana na wewe huyu ndiye Diamond mwenyewe! Pamoja nakuwa na hit songs hivi karibuni tulimiss utunzi mzuri! Nyimbo hii imenikumbusha diamond mwenyewe ...wimbo mzuri sana na utunzi mzuri sana...Huyu ndio Diamond ninayemjua mimi.
Hii nyimbo imemrudisha asili ya nyimbo zake.
Japo amekuwa akipiga nyimbo za kibiashara na burudani zaidi.
Lakini hii amerudi katika ile ladha yake ya nyimbo zake za awali
kama 'kamwambie', 'Mbagala', nk.
Hii ni hit ya 'rohoni' itawashika sana wale watu
wa sauti za kumtoa nyoka pangoni.
Hatari ya sauti iliyotumika (Ajemi) ikatokea amekufa
kisha watu wakawa wanasikiliza huu wimbo itakuwa
ni kuvirudisha vilio upya, tena vya kwikwi kubwa!!.
sijajua kama huyu kijana anazijua hizi sauti na asili yake.
Mkuu mi kile kipande kimenichekesha sana..Bab Tale katisha aiseeehahahahaaaa hunishindi mimi aiseee!zile mbio hapanaa!utafiriki hamjui diamond kufulia mbaya sana
Naungana na wewe huyu ndiye Diamond mwenyewe! Pamoja nakuwa na hit songs hivi karibuni tulimiss utunzi mzuri! Nyimbo hii imenikumbusha diamond mwenyewe ...wimbo mzuri sana na utunzi mzuri sana...
Mkuu mi kile kipande kimenichekesha sana..Bab Tale katisha aiseee
Wanajamvi,
Muda wowote kutoka sana, mfalme wa wafalme Mond bin laden aka baba tiffah aka mzungu mweusi aka mtanzania pekee aliyejijengea ikulu aka asali ya walembo aka vocalist aka aka aka aka anaenda kudondosha super heat song ever heard.
Stay on this uzi for very recently updates.
Ni mtamu ndomo yupo njema salute
video kwangu inaonesha imekua blocked why?