chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,008
kedrick kuwa muwazi, diamond kawadisapoint sana fans wake, huu wimbo too lacal miomdoko ya kizaman, sio mziki wa kisasa, mwambie jamaa ajipange, hii ngoma haiwezi kuingia kwny nagharamia hata robo.
dah to be honest, Audio hii sio hadhi kabisa ya Diamond, mimi ni teamKiba lakini pia huwa napenda nyimbo za Mondy, lakin katika hii hapana, video ndio nzur na ujumbe, naamin producer ndiyo kamuangusha sababu ni mikito ya kizamani
Video kama ntampata wapi ideas yake au kisa magari
Duh bonge la kitu kweli Mondi ni mutu mubaya
Mkuu vipi tena hahahahahaa
audio 0 video 100.
Kwel watanzania ni wanafiki hasa teamMondy, najua wengi wapo dissapointed, wimbo umekaa kizaman sana, eti ndio uifananishe hii na #Nagharamia thubutu....!!! Utachekwa, subirin next week tuache video ya nagharamia tuone kama hamtahama mji.