Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

kedrick kuwa muwazi, diamond kawadisapoint sana fans wake, huu wimbo too lacal miomdoko ya kizaman, sio mziki wa kisasa, mwambie jamaa ajipange, hii ngoma haiwezi kuingia kwny nagharamia hata robo.

Uko sahihi kabisa beat ya huo wimbo n mbaya hta haivutii
 
Last edited by a moderator:
Ngoma tamu saaana! Video nayo iko👌👌👌👌
 
dah to be honest, Audio hii sio hadhi kabisa ya Diamond, mimi ni teamKiba lakini pia huwa napenda nyimbo za Mondy, lakin katika hii hapana, video ndio nzur na ujumbe, naamin producer ndiyo kamuangusha sababu ni mikito ya kizamani

Na mimi nimeona.ivo ivo kwakwel
 
Nyimbo mbayaa sijui taarabu sijui mdundiko remix afanye na hadija kopa
 
Video kama ntampata wapi ideas yake au kisa magari
 

Attachments

  • 1449866584706.jpg
    1449866584706.jpg
    31.4 KB · Views: 364
Kwel watanzania ni wanafiki hasa teamMondy, najua wengi wapo dissapointed, wimbo umekaa kizaman sana, eti ndio uifananishe hii na #Nagharamia thubutu....!!! Utachekwa, subirin next week tuache video ya nagharamia tuone kama hamtahama mji.
 
Mkuu vipi tena hahahahahaa

ahahahaa hii nyimbo inamfaa MASAMAKI maana najiuliza sijui michepuko yake ya zamani bado inampendaga?!nyumba zake ziko kizuizini basi shida tupu mkuu

Akisikia hii nyimbo TIAGI MASAMAKI Atalia sana!!
 
Back
Top Bottom