Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Hiyo song mpya vp nayo itatumbua jipu an ndy ya mapenz tu

Ipo wazi kila mtu anafahamu, mapenzi ndio kila kitu kwenye muziki watu wengi ndio wanapenda hivyo.. ingekuwa soko linahitaji zaidi nyimbo tofauti na mapenzi, wasanii wangebadilika..!

Roma kaimba nyimbo yake ya kimapinduzi, lakini ilifika wapi zaidi ya watu kumuongelea ile siku afu tukamsahau.
 
Ni Balaa Africa nzima inasubiria. Chibu Dangote drp tht shhh
 
Attachments

  • 1449721956926.jpg
    1449721956926.jpg
    48.5 KB · Views: 586
Diamond Platnumz has announced a 2016 European tour. The seven date tour begins in March 2016 and will reach Germany, Norway, Sweden, France, Finland and Denmark. Earlier this week he also announced he would be releasing a new single on Friday (11 December).

""Good News to My Beautiful people...next Hit Drops on FRIDAY!!!"" Chibu Dangote (@diamondplatnumz) December 9, 2015

19 March - Berlin, Germany
25 March - Oslo, Norway
26 March - Stockholm, Sweden
1 April - Paris, France
2 April - Stuttgart, Germany
8 April - Helsinki, Finland
9 April - Copenhagen, Denmark

By;- MTV Base - News
 
Asante sana Diamond. Tuonane 26th April Stockholm. Mkuu DALA hunialiki 8th april?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Diamond. Tuonane 26th April Stockholm. Mkuu DALA hunialiki 8th april?

Japo mimi siyo shabiki wake ila naona siyo mbaya kupata burudani toka home so nitaenda. Kama vipi tuibuke pamoja au unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Japo mimi siyo shabiki wake ila naona siyo mbaya kupata burudani toka home so nitaenda. Kama vipi tuibuke pamoja au unasemaje?

Mi namkubali sana tu achilia mbali kumuunga mkono mtu wa nyumbani. Tuibuke tu maana hamna namna, mi pande hizo sina ujanja kabisa, hivyo nikiwa mwenyewe siwezi kwenda
 
Mi namkubali sana tu achilia mbali kumuunga mkono mtu wa nyumbani. Tuibuke tu maana hamna namna, mi pande hizo sina ujanja kabisa, hivyo nikiwa mwenyewe siwezi kwenda

Nimeisave kwenye calendar tyr! Tukumbushane basi au vipi?
 
Nimeisave kwenye calendar tyr! Tukumbushane basi au vipi?

Sawa kabisa, tukumbushane march mwanzoni, ili kuweka mambo sawa na kuhakikisha kuwa hakiharibiki kitu
 
Diamond Platnumz has announced a 2016
European tour. The seven date tour begins in
March 2016 and will reach Germany, Norway,
Sweden, France, Finland and Denmark. Earlier
this week he also announced he would be
releasing a new single on Friday (11 December).
Good News to My Beautiful people...next Hit
Drops on FRIDAY!!! ?
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz)
December 9, 2015
19 March - Berlin, Germany
25 March - Oslo, Norway
26 March - Stockholm, Sweden
1 April - Paris, France
2 April - Stuttgart, Germany
8 April - Helsinki, Finland
9 April - Copenhagen, Denmark
 
Back
Top Bottom