Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.


Sikomi
 
Hata mimi ningewala tuuuu.

Sijabaka first of all.

Cha pili nilipokuwa sina hela nauza mtumba viden vilinidharau, aisee navila tyuuuuuu.
 
ukiona wewe ni mwanaume na unashuhulishwa na mahusiano na starehe za chumbani za mwanaume mwenzio,yakupasa ukae chini ujitafakari.
 
Nashauri vijana mnaotaka kuwa maarufu au kufanikiwa.. Jitahidini sana muwe na 'class'. Kufanikiwa au kuwa maarufu bila 'class' ni fedheha kubwa!

Ngoja nikaiandalie thread hii point..
Mkuu nipo karibu sana na umaarufu, class unamaanisha nini?
 
Kikubwa tu kama mtongozwa ameridhia basi Acha waliwe tuu
 
Tanasha Donna oketch uyu apa.
 
Nandy anajulikana Sana nae uyu apa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…