Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Mama ushauri katika ubora wakeHata mimi ningewala tuuuu.
Sijabaka first of all.
Cha pili nilipokuwa sina hela nauza mtumba viden vilinidharau, aisee navila tyuuuuuu.
Mkuu, ilo jina lako, ukiwa kwenye ndege alafu ukasikia rubani analitamka, anza tu kusali sala ya mwisho!...na kila mwenye ngoma yake acheze mpaka ipasuke.
Mkuu nipo karibu sana na umaarufu, class unamaanisha nini?Nashauri vijana mnaotaka kuwa maarufu au kufanikiwa.. Jitahidini sana muwe na 'class'. Kufanikiwa au kuwa maarufu bila 'class' ni fedheha kubwa!
Ngoja nikaiandalie thread hii point..
Bado kuna ambao hawavumi lakini ni moto wa kuotea mbali... Halali bila K-vantJamaa kazd sasa ni too much.
Kikubwa tu kama mtongozwa ameridhia basi Acha waliwe tuuHabari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Mtoa madaa atakuwa hapati kula sababu ya mondi kuhonga mademu wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23]
[emoji3][emoji3]Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia