Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
 
Nashauri vijana mnaotaka kuwa maarufu au kufanikiwa.. Jitahidini sana muwe na 'class'. Kufanikiwa au kuwa maarufu bila 'class' ni fedheha kubwa!

Ngoja nikaiandalie thread hii point..
 
46527754_2158730777720835_5342385794039724720_n.jpg

Hahitaji mchango wa mtu mzee mama[emoji1]
 
Nashauri sana vijana mnaotaka kuwa maarufu au kufanikiwa.. Jitahidini sana muwe na 'class'. Kufanikiwa au kuwa maarufu bila 'class' ni fedheha kubwa!

Ngoja nikaiandalie thread hii point..
Fafanua kidogo boss
 
Back
Top Bottom