Akiva na asivae inakusaidia nini ?? Chapati we
Kuvaa gloves yataka moyo, huoni anavyozaa inadhihirisha havai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvaa gloves yataka moyo, huoni anavyozaa inadhihirisha havai.
Kitumbua wee...Akiva na asivae inakusaidia nini ?? Chapati we
Co kila mtu anakaa na mama Kama wewe we nyau,mimi nko full ata wewe naweza kukulea Kama unataka Lakin an** itakuwa Mali yangu,maana unawa*** Co bure.Aiwezekan muanzisha mada ni wale wanaosubiri mamayao akiweka sim tu chini yeye anatumia
Jamani ya gred na 33kv hayahusiani kabisaa na mada tajwa,tunamsemo sisi wasukuma unasema hivi ,n'hamba kwee lemir'ha,manayake ni ukiwa unapenda vitu vizuri vizuri sharti ufanye kazi kwa bidii ili uvipate usije kua unaviona kwa jirani na kuanza kuona wivu,hakika kwa mwanaume hayupo ambaye hapendi kufanya kama diamond anavyofanya kikubwa hapa mfuko ndiyo shida ukiwanazo aaa tena diamond akawa rafiki yako.Mwache awachape faida yake atakuja kuiona baadae,wapi Mzee wa KIDALI Poo? Ukiwa Chapachapa hakika hautabaki SALAMA lazima Uunganishwe kwenye "GRIDI YA TAIFA" aka UMEME MKUBWA wa 33Kv
Kuna ya kuvaa siku hizi
...na kila mwenye ngoma yake acheze mpaka ipasuke.Dunia uwanja wa fujo...
andazi weeeKitumbua wee...
Nimeweka uzi kabisa mkuu. Ucheki hapa >> To the young and the aspirational: When you are working for fame and riches, pray for a bit of class! - JamiiForumsFafanua kidogo boss