Diamond Platnumz: Niliibiwa Tsh. Bilioni 4 niliyotaka kununulia ndege

Hakusema ndege ni billion 4 alisema alikua analipia kwa awamu ila kabla hajamaliza kulipia ndo katapeliwa hiyo billion 4

Swala la yeye kununua ndege sina uhakika nalo na hata mimi na mashaka na hilo ila yeye kumiliki billion 4 ni suala linalowezekana.
 
Nimesikiliza vizuri hiyo video amesema ametanguliza bil 4 yaani kwa maana nyingine ni advance ebu isikilize vizuri hiyo video sijaona amesema kanunua kwa bil 4
 
Kuna mtu yuko high mda wote?
Mda wa kazi ni kazi ukimaliza fanya chochote unachopenda.
Umesoma ule Uzi vizuri walivyoandika kwa mujibu wao diamond kaathirika vibaya hajitambui ameisha kabisa sasa kwa hiyo video unaona usadiki hiyo kauli yao
 
Nifah umesema diamond ni teja kwenye ule Uzi wako angalia video ya huu Uzi je kinalingana na ulikuchokuwa unasema?
Alisema ni Teja au alisema anatumia madawa ya kulevya? Hujui hata utofauti wake? na alimshauri aache kabla hajachelewa (ndio kua teja sasa) nimegundua wewe ni chawa wa Mondi humu JF ila huna ukaribu nae hata kidogo sio ajabu hata kumuona unamuonea kwenye matamasha wale mashabiki andazi wanaokuaga mbele mbele, wakipelekea mikono kushoto na kulia [emoji23]....

Diamond anatumia madawa ya kulevya huo ni ukweli wala sio chuki wala majungu.
 
Umesoma ule Uzi vizuri walivyoandika kwa mujibu wao diamond kaathirika vibaya hajitambui ameisha kabisa sasa kwa hiyo video unaona usadiki hiyo kauli yao
Hayo mambo inawezekana anafanya kwenye after party zao.
Which is Okay.
 
Mbona unahasira?
 
[emoji445][emoji445]Uooooongo huo ni uongooo[emoji445][emoji445][emoji444] uongoooo[emoji444][emoji444][emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…