Alafu hiyo private jet ya 4 Billion za madafu iko wapi,labda aseme alitaka kununua vile vindege wanaviita focus,au vichata lakini sio private jet ya maana,,hizo zinaanzia Dola 20 million na kuendelea huko na hapo bado running costs and maintenance costs zake na Bado vibali na parking fees,ebu aache utani kama ananunua vile vya kubeba abiria watano Hadi nane sawa hizo bei ni ndogo nazo sio 4 Billion ni kuanzia at least 8 billion huko.
Hizo ndege ndogo ndogo hata matajiri wa Arusha wengi tu wanazo maana bei zake ni kuanzia 2 b na kuendelea na kuwa na 4 sio ishu hapo kariakoo tu wapo jamaa zangu wakinga na wachaga machalii wadogo tu wanauza nguo na viatu from china account zao ni zaidi ya 10 billion niamini Mimi nakuambia na hawana shobo kabisa.