Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Vipi hajatangaza utaratibu wa kuwalipia kodi, mi nkajua interview ilikua ya kutangaza utaratibu kama ilivyosemwa,.

Sasa mbona habari Kubwa imekua ni Ya Hotel na Gari, Alafu misukuale yake Inashangilia, Kasema kamaliza tofauti yake na Mzazi mwenzake hapa misukule Imenuna, Jana misukule ilishupaza shingo kumchamba zari jamaa kapiga simu kajishusha wayamalize..

Mambo ya Kununua Magari na mahotel yanatuhusu nini Misifa tu na kutafuta kutrend, Babako analala nyumba ya tope we unatangaza kununua Mahotel, pimbiz na kengez zinashangalia na kufurai wakati hata baisker hazina
 
NAJUA WENGI HAMTANIAMINI ILA KUNA UTAFITI WA KIJASUSI NIMEUFANYA NIMEGUNDUA DIAMOND PLATNUM ANACHEZA NA AKIRI ZA WATU KWA SABABU ANAJUA KUNA WAPO VIJIWENI KAZI YAO KUBISHANA VIJIWENI,

UKWELI NI KWAMBA YOTE ANAYOZUNGUMZA NI FIKSIIIII TUPU HUO UWEZO HANA ILA ANAZUNGUMZA IVO ANAJUA KUNA MATAIRA KAZI YAO NI KUBISHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaniii hadi kwenye maisha halisi
 
Kuba ana hotel kumi za nyota 20 mbona hajitangazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
huyu nae huwa ana fake maisha kupitiliza,wanafanya vijana waone kuwa wamechelewa sana kitu ambacho si kweli mwisho wa siku vijana wanaingia kwenye vitendo ovu ili nao wapate mali...too much faking yaani...vijana wenzangu tusipaniki na haya maigizo,huyu nae anaishi kwenye nyumba za kupanga kama sisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…