Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Watu kimyaaa....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni ujinga tu na Ulimbukeni wa kutaka misifa, kulikua hakua haja ya kutangaza mahotel na Magari
 
Ok sawa....apokee simu ya zari sasa
 
Unapata tabu.
 
Mbona namba wameitangaza nenda instagram kwenye page za Wasafi TV.

We usemege mapema shida zako kwani ukilipiwa kodi ya miezi mitatu nani atakujua kama wewe haters wa WCB na Diamond.
Utaratibu wa hovyo kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…