Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Mtu akijajua maana ya neno "usanii hawezi kuwa na maneno maneno na matendo ya wasanii". Haya yote mbona kila sehemu yanafanyika...hata kina Jay Z, Chris Brown, Rihana, Drake n.k huweka wazi baadhi ya mambo yao mfano, mahusiano, maisha yao kwa ck labda wanatumia sh. Hii yote ni kujibrand na kuadd value ya msanii ktk kazi zake. Sasa kwetu ss hapo BONGO unakta mtu anasema yann amefanya haya yote kututangazia? Hiyo ni life style ya msanii, ww ktk maisha ya leo ukiona jambo huoni thamani yake "MUTE" fanya yanayokuhusu ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama kuna kijana anaingia kwenye hvyo vitendo nadhani uwezo wake mdogo tu, kama haya ya huyu dogo ni kweli basi na sisi yiendelee kupambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutumia serikali za mitaa pia ni utaratibu.
 
nakubali kwamba kiume amegundia kwamba alipuyanga ,mpaka akaamua kwa hiyari yake kupiga simu kwa mzazi mwenzie.

hayo mengine anastahili,na ingekuwa ajabu kutokuwa navyo.

msaniii useme una hela,huna RR,rambo wala ferali utakiwa inatuzingua,hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…