Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Ndo maana nimekuambia kama mtu mwenye 45% share kwako unaamini anafanya too much faking then you have serious problem!
kumbe ana 45%..mi nilidhani zote 100% zake coz alikuwa anajitapa kuwa anaanzisha media yake kumbe sio yake??
 
Good job mwanangu, Mungi akuzidishie kama utaweka iwe kwaajili ya karantini, ni zaidi ya kutoa.
angalia Mfugali ana gofu lake pale mnazi mmoja linaitwa pikoku na hata hajawaza kumsaidia Magufuli kuhifadhi watu wa Corona.
angalia red crosss wana lijengo lao limejaa popo, wewe ni kioo cha jamii.
 
kumbe ana 45%..mi nilidhani zote 100% zake coz alikuwa anajitapa kuwa anaanzisha media yake kumbe sio yake??
Huyo aliye too much faking ana 45% share... wewe unazo ngapi?!

Anyway, baada ya kupitia posts zako nimekuta ndo kwanza unaomba usaidiwe kupata kazi ya ualimu!!

Kumbe unasumbuliwa na wivu unaotokana kukosa hata kazi ya kufanya!!

Ngoja nikupuuze, manake hakuna uendawazimu kama kubishana na mtu wa aina yako!!
 
Lakini Unajua masuala ya hisa?
Hivi mtu yeyote akitamka neno WASAFI unadhani ina reflect nini kwenye akili yako ?
Kusaga au diamond?
Na mtu akisema cloud's media,nini kinakuja Haraka kwenye akili yako?
Kusaga au Rostam Aziz?
Kuna Lofa hapo juu kaandika "kumbe anamiliki 45%, mi nilidhani 100%... yaani hata hafahamu sheria za makampuni huwezi kumiliki 100%!!

Halafu walivyo watu wa ajabu... Waulize Clouds inamilikiwa na nani na watakuambia Joseph Kusaga wakati Joseph Kusaga ana 25% share!!

Kwahiyo Joe kuitwa ndie mmiliki wa Clouds wakati ana 25% kwao ni sawa lakini hawataki kusikia Diamond anamiliki media pamoja na 45% zake!!
 
Manyumbu ya WCB magasho kila kitu kumtaja Ali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…