DIAMOND PLATNUMZ PUNGUZA KIKI

DIAMOND PLATNUMZ PUNGUZA KIKI

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,403
Reaction score
3,055
Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel ya Wasafi tv,bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!

Pia akaja na wako kwamba atalipia watoto 30,gharama za kwenda kula bata la nguvu na mtoto mwenzao Latifa,nikasema kumbe mambo ni vipi moto!! Pia tukaambiwa kuna baadhi ya wasanii kama Madame Sepenga na Aunty Ezekiel watapata offer ya kwenda bondeni kwa gharama za Diamond!!

Sasa nauliza mbona kimya sana?? Sijaona picha za Sepenga na Aunty Ezekiel wakiwa bondeni,sijaona, watoto wakipewa tiketi za ndege za kwenda bondeni,au hii kitu ilifanyika kimya kimya??

Bado najiuliza kwa nini unapenda kutoa taarifa mapema,halafu inakuja onekana ni mtu uongo?? Bado tunafikiria fix yako ya kwenda kuimba wimbo maalum wa Welidi kapu,napo ulitupiga kamba!! Badilika punguza stunt utakuja kwama!!
 
Nawewe kwa ujinga wako ukalipia kifurushi ili umuangalie Tiffa? Si bora umuangalie mwanao hapo nyumbani
Ha ha ha soma,elewa kwanza,azam na star times kuna channel nyingi zaidi ya Wasafi Tv,so nawatch channel nyingine zaidi ya hiyo!!
 
Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel ya Wasafi tv,bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!

Pia akaja na wako kwamba atalipia watoto 30,gharama za kwenda kula bata la nguvu na mtoto mwenzao Latifa,nikasema kumbe mambo ni vipi moto!! Pia tukaambiwa kuna baadhi ya wasanii kama Madame Sepenga na Aunty Ezekiel watapata offer ya kwenda bondeni kwa gharama za Diamond!!

Sasa nauliza mbona kimya sana?? Sijaona picha za Sepenga na Aunty Ezekiel wakiwa bondeni,sijaona, watoto wakipewa tiketi za ndege za kwenda bondeni,au hii kitu ilifanyika kimya kimya??

Bado najiuliza kwa nini unapenda kutoa taarifa mapema,halafu inakuja onekana ni mtu uongo?? Bado tunafikiria fix yako ya kwenda kuimba wimbo maalum wa Welidi kapu,napo ulitupiga kamba!! Badilika punguza stunt utakuja kwama!!
We ni KE au ME, status yako pia: Umeoa/olewa, au Mjane/Umeachika, au Singo
Hii mada km ya watoto
 
Unapaswa kuvalishwa sketi...
 
Yaani watu wajinga sana, mtu unashindwa kufanya ya maana eti unataka kumuangalia Tiffah….si ushenzi huu jamani?
 
Back
Top Bottom