Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Kigoma Independent hii habari Ni nzuri Sana na Ni kubwa Sana kwenye industry yetu ya mziki ukutakiwa uwasilishe kwa huo mtindo huo wa mipasho hakukua na sababu ya kufanya hivyo mzee next time jifunze kuandika Uzi bila mipasho au usingeandika kabisa watu wastaharabu wangeandika Hilo ndio uliokosea mzee
 
nani awapigie kura hawa? waende kwa Polepole!
Kwani usipowapigia wewe ndio kutafanya wasipigiwe kura hao Wana fans wengi Sana wewe hata usipopiga huna impact yoyote wewe baki na siasa yako uone Kama itakufanya uwe na maisha Bora
 
unaelewa maana ya "for grammy consideration"?
 
Wenzao wa Nigeria wamekaza hadi SARS imekuwa abolished, akina wizkid, Davido na wenzao wakiwa frontline, huku wanajaza matumbo kuungana na watesi! Muda wa kuchuma ulipopanda, ccm unganeni muwapigie kura!
una uhakika Kama hawajapata chochote...? so kukaza kwao ni kwao na sisi tumewakazia Grammy so NGOMA draw[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ina maana hawa grammy hawajakielewa kabisa kizungu cha album yetu pendwa ya mmakonde?
 
Umekosea sana chief!! wahenga wana msemo unasema " Hujafa hujaumbika" lolote linaweza likakutokea ukapata kilema cha maisha!! usimnyoshee mtu kidole
fact kaka amekosea sana tena inabidi aombe radhi mapema, maana lissu mwenyewe akuomba yamkute so sad kufurahia matatizo ya mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…