GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 370
- 636
Kwa sasa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati .
Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media kuliko wote Africa.
Ndio msanii anaeongoza kwa video zenye viewers wengi kwa sasa Africa yote .
Ndio msanii anaeongoza kwa show zenye mvuto zaidi kwa sasa,haswa upande wa kucheza Africa yote.
Ndio binadamu- anaeongelewa kuliko binadamu- wote ukanda huu wa maziwa makuu.
Girlfriend wake Zarithe bossylady ndio mwanamke anaefatiliwa na kuongelewa kuliko mwanamke yoyote East Africa.
Mtoto wake Chibu Junior ndio mtoto anaesubiliwa kwa hamu kuliko watoto wote Africa na hii ni kabla ata ajazaliwa. Ndio mtoto anaeongelewa zaidi ,amevunja rekodi ya mtoto supastaa Sasha wa Sugu na Faiza .
Dancers wake ndio madensa wanaotengeneza pesa ndefu kuliko madensa wote Africa. Wanatengeneza pesa kuliko mastaa wengi tu .
Mpiga picha wake professional kifesi ndio mpiga picha aliyepiga picha nyingi zaidi msanii tangia nchi ipate uhuru . Na ndio photographer aliyesafiri nchi nyingi zaidi kushinda ata issa michuzi- ,ameshagonga passport tisa mpaka sasa.
Huyu ndio Diamond chui wa tandale.
Ni msanii wa kipekee tangia nchi kupata uhuru aliyepata mafanikio ya aina yake.
Ndio maana kila anachogusa Diamond Platnmz kwa sasa kinageuka almasi.