Diamond Platnumz: Sasa kila anachogusa kinageuka almasi

Diamond Platnumz: Sasa kila anachogusa kinageuka almasi

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Kwa sasa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati .

Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media kuliko wote Africa.

Ndio msanii anaeongoza kwa video zenye viewers wengi kwa sasa Africa yote .

Ndio msanii anaeongoza kwa show zenye mvuto zaidi kwa sasa,haswa upande wa kucheza Africa yote.

Ndio binadamu- anaeongelewa kuliko binadamu- wote ukanda huu wa maziwa makuu.

Girlfriend wake Zarithe bossylady ndio mwanamke anaefatiliwa na kuongelewa kuliko mwanamke yoyote East Africa.

Mtoto wake Chibu Junior ndio mtoto anaesubiliwa kwa hamu kuliko watoto wote Africa na hii ni kabla ata ajazaliwa. Ndio mtoto anaeongelewa zaidi ,amevunja rekodi ya mtoto supastaa Sasha wa Sugu na Faiza .

Dancers wake ndio madensa wanaotengeneza pesa ndefu kuliko madensa wote Africa. Wanatengeneza pesa kuliko mastaa wengi tu .

Mpiga picha wake professional kifesi ndio mpiga picha aliyepiga picha nyingi zaidi msanii tangia nchi ipate uhuru . Na ndio photographer aliyesafiri nchi nyingi zaidi kushinda ata issa michuzi- ,ameshagonga passport tisa mpaka sasa.

Huyu ndio Diamond chui wa tandale.

Ni msanii wa kipekee tangia nchi kupata uhuru aliyepata mafanikio ya aina yake.

Ndio maana kila anachogusa Diamond Platnmz kwa sasa kinageuka almasi.
 
Mkuu chibu yuko juu kwakweli... Ila hapo kwa kifesi na michuzi kwa upande wa safari sio kweli.. Unajua Mr michuzi anaambatana na Mh Rais Jk kwenye safari zake sasa compare safari za chibu na Jk.
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Mkuu chibu yuko juu kwakweli... Ila hapo kwa kifesi na michuzi kwa upande wa safari sio kweli.. Unajua Mr michuzi anaambatana na Mh Rais Jk kwenye safari zake sasa compare safari za chibu na Jk.

Chibu kwa sasa anasafiri kuliko ata JK. Na Kifesi lazima awe pembeni.
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆

Diamond amekuwa nominated kuliko kuliko msanii yoyote hapa east Africa.
 
ina maana timu pinzani hawajaiona hii sredi au?!' au ndio washakubali !' ..........
 
ni safar nzur yenye matumaini..this is diamonds slogan😛lay Hard,Work Hard..?!
 
Duh si kwa sifa hiziii, watu mnapambaaaaaaa.....hahahaaaa Chibu juu zaidi miaka 800, hapa kazi tuuuu #team dangote, team sukari yetuuu....
 
Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?

Ni msanii mkubwaa saana..nadhani bahati plus nyotaa bado haija simama
 
thanks for details other tym tupatie wasifu wA kingKiba coz hat a jamaa anamambo mengi than a..?!
 
Back
Top Bottom