BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini.
"Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo Na Tamaduni Tulipata Wasaa Wakuongea Kabla Ya Tuzo Kufanyika Na Nilimueleza Maoni Yangu Na Cha Kwanza Nilimwambia Sikuwa Bado Na Imani Na Tuzo Hizo Labda Nizione Mbele Zitaendeleaje Na Zitakuwa Na Uhalisia Kiasi Gani''
"Nitakuambia Ukweli Mara Ya Mwisho Tuzo Zilikufa Kwasababu Yangu Mimi Nilinyimwa Tuzo Walipewa Watu Wengine Ambazo Mimi Nilikuwa Na Stahili Hivyo Wadhamini Wakamind Watu Walijitoa.
“Yalitokea Mambo Mengi Sana Wakaenda Kuomba Radhi Na Nini So Kutokea Pale Sababu Ya Tuzo Kufa Mimi Ndio Ilikuwa Sababu Mimi Nilinyimwa Watanzania Wakakasirika So Ili Zinavyokuja Mpya Naziamini Vipi?? Lazima Nizitazame Zina Ukweli Au Zina Uongo Ndani Yake''
Source: BBC Swahili