Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

Sasa kama jamaa anadai yeye bado ni 'mvulana' akioa ndio atakuwa 'mwanaume' unategemea Kuna mapoint hapo utavuna? Lazima aongee kiuvulana vulana TU.
 
Kuna mtu juzi kasema wafuasi wa domo hawana tofauti na wafuasi wa Zumaridi
 
KUWA NA MTU ANAJITAMBUA KAMA MONDI NI HAZINA TOSHA.

HUYU NI MIONGONI MWA WATU WENYE AKILI SANA JAPO HAJASOMA.

ANAWEZA WAFANYA WAKE ZENU, DADA ZENU NA HATA WANAUME WENGINE KUWA NAE ATTENTION KWA KILA JAMBO ANALOLIFANYA.

AKILI KUBWA MNO NA KUJITAMBUA NDO KUMEMPA MAFANIKIO ALIYONAYO

Elimu aliyonayo ni kubwa sana
 
Yupo sahihi,hizo tuzo zimejaa Siasa na upuuzi mtupu,vigezo vinavyotumika kuwapata washindi ni janja janja tu,inawezekana vipi msanii mkubwa nchini kwa kila kitu,pesa,ubora,akose tuzo hata moja?
Pale basata unakuta director hajuhi hata mziki au kuigiza,amesomea kadegree kake ka sociology,kapewa kazi anakula salary tu,
Upuuzi wa kuchangsnya Siasa na mambo mengine,tumeuona leo,
Simba inacheza,mechi ya kimataifa,harafu wakachomekea kipengele Cha mgeni rasmi!mgeni mwenyewe ni Makamu wa ccm!!fisadi Kinana,inatapisha balaa.

kama zimejaa siasa mbona yeye anatumika ccm kuimba
 
KUWA NA MTU ANAJITAMBUA KAMA MONDI NI HAZINA TOSHA.

HUYU NI MIONGONI MWA WATU WENYE AKILI SANA JAPO HAJASOMA.

ANAWEZA WAFANYA WAKE ZENU, DADA ZENU NA HATA WANAUME WENGINE KUWA NAE ATTENTION KWA KILA JAMBO ANALOLIFANYA.

AKILI KUBWA MNO NA KUJITAMBUA NDO KUMEMPA MAFANIKIO ALIYONAYO
Wenyewe wanajua wakimzodoa ndio wanamkomesha [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu diamond kila ukijaribu kumtetea anakuja na boko haram
Nimekulia uswahilini ila nafikiri shule ilinitoa ushamba..
 
🤣🤣🤣🤣 nimegundua wengi wetu kile kipindi cha KILI MUSIC AWARDS Kiba anakomba tuzo zote za ndani hadi ya mtumbuizaji bora afu ndani ya mwezi huohuo Mondi anashinda tuzo ya mtumbuizaji bora Afrika tulikuwa bado makinda wa sanaa ndo maana tunabisha...

Kile kipindi ndo tuzo zikafa jumla... Watu walizipa mgongo mpaka wadhamini wakamaindi! Na tokea hapo hakujawahigi kuwa na tuzo tena mpaka mwaka huu ndo basata nao wamejikakamua kuja na vituzo vyao vya mchongo...

Atakayebishia hili tukio basi kaanza kufatilia mziki juzi enzi za kina lody music... ☺️☺️☺️
 
KUWA NA MTU ANAJITAMBUA KAMA MONDI NI HAZINA TOSHA.

HUYU NI MIONGONI MWA WATU WENYE AKILI SANA JAPO HAJASOMA.

ANAWEZA WAFANYA WAKE ZENU, DADA ZENU NA HATA WANAUME WENGINE KUWA NAE ATTENTION KWA KILA JAMBO ANALOLIFANYA.

AKILI KUBWA MNO NA KUJITAMBUA NDO KUMEMPA MAFANIKIO ALIYONAYO

Tangu lini mzinzi akawa ana akili?. Mzinzi Ni mpumbavu tu, hata afanyeje.
 
KUWA NA MTU ANAJITAMBUA KAMA MONDI NI HAZINA TOSHA.

HUYU NI MIONGONI MWA WATU WENYE AKILI SANA JAPO HAJASOMA.

ANAWEZA WAFANYA WAKE ZENU, DADA ZENU NA HATA WANAUME WENGINE KUWA NAE ATTENTION KWA KILA JAMBO ANALOLIFANYA.

AKILI KUBWA MNO NA KUJITAMBUA NDO KUMEMPA MAFANIKIO ALIYONAYO
Big chawa in da house
 
Back
Top Bottom