Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

Sasa kama jamaa anadai yeye bado ni 'mvulana' akioa ndio atakuwa 'mwanaume' unategemea Kuna mapoint hapo utavuna? Lazima aongee kiuvulana vulana TU.
 
Kuna mtu juzi kasema wafuasi wa domo hawana tofauti na wafuasi wa Zumaridi
 

Elimu aliyonayo ni kubwa sana
 

kama zimejaa siasa mbona yeye anatumika ccm kuimba
 
Wenyewe wanajua wakimzodoa ndio wanamkomesha [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu diamond kila ukijaribu kumtetea anakuja na boko haram
Nimekulia uswahilini ila nafikiri shule ilinitoa ushamba..
 
🤣🤣🤣🤣 nimegundua wengi wetu kile kipindi cha KILI MUSIC AWARDS Kiba anakomba tuzo zote za ndani hadi ya mtumbuizaji bora afu ndani ya mwezi huohuo Mondi anashinda tuzo ya mtumbuizaji bora Afrika tulikuwa bado makinda wa sanaa ndo maana tunabisha...

Kile kipindi ndo tuzo zikafa jumla... Watu walizipa mgongo mpaka wadhamini wakamaindi! Na tokea hapo hakujawahigi kuwa na tuzo tena mpaka mwaka huu ndo basata nao wamejikakamua kuja na vituzo vyao vya mchongo...

Atakayebishia hili tukio basi kaanza kufatilia mziki juzi enzi za kina lody music... ☺️☺️☺️
 

Tangu lini mzinzi akawa ana akili?. Mzinzi Ni mpumbavu tu, hata afanyeje.
 
Big chawa in da house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…