Diamond Platnumz uwe na utu!

Diamond Platnumz uwe na utu!

Huo ndiyo ukweli.

Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.

Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.

Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.

Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.

Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.

Nitarudi tena toleo lijalo.
Funguka tu mkuu hamna cha ban , me ndo moderator
 
Watu wengine sijui hua mnawaza kwa kutumia nini

Mrs Van
Hiyo ndiyo difference between males and females na pindi diamond angekuwa anamcontrol zari asingeenda katika maziko yale bila Diamond na wangesema mke wa Diamond ambaye ni mke wa ivan wa zamani. Ndo maana sasa uhusiano unayumba. Najua hutakubali ila wanaume si wavulana watanielewa
 
Kwahiyo huyo member incase amefiwa na mwanae inakuwaje?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Hawaji wanatuma pole japo pia vigezo huwa tofauti tofauti kulingana na cheo / position /title ya mhusika mwenyewe.
 
Funguka tu mkuu hamna cha ban , me ndo moderator


Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh, kama ulimpa "ban" [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold & [HASHTAG]#Nifah[/HASHTAG], Je. Mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG] nitaponaje kufungiwa hata mwezi au mwaka mmoja kabisa!?.
 
Back
Top Bottom